Mtini
JF-Expert Member
- Apr 28, 2011
- 1,492
- 2,361
Wakati ule wa vita ya Marekani na Iraq nakumbuka nilikuwa bado nasoma sekondari na katika vita ile nilikuwa mshabiki wa Iraq.
Kutokana na propaganda za jamaa watu wengi tuliokuwa mashabiki wa Iraq tuliamini Iraq ingeshinda vita ile, kuja kushtuka kumeshakucha Sadam kesha katwa kichwa kumbe jamaa lilikuwa linatufunga fix.
Nimeona tukumbushane haka kastori kana maana kubwa sana kwetu
HUyo jamaa ni kiboko ya viboko wa wana-propaganda dunini! Vita vya Iraq ni vita ambayo niliifuatilia kwa mapana na marefu kwavile nilikuwa home tu, sina hili wala lile kwahiyo muda mrefu nilikuwa na CNN kuangalia what's going on in Iraq!
Siku nimekoma na huyo Mzee ni pale Majeshi ya Marekani walipouteka Uwanja wa Ndege wa Baghdad! Waandishi wa Habari wakamwendea Muhammad Al Sahaaf na kumuuliza ikiwa ni kweli Uwanja wa Baghdad imedondokea mikononi mwa adui! Nukuu isiyo rasmi nakumbuka alijibu: "That's completely unbase, that's not true... that's not true! Why not to take them to... haahahaa... to Sadam Airport?! Yah, this's silly... Hoohoohaa...!"
Al Sahaaf alidondosha kicheko cha dharau to the point ikaonekana kumbe habari za kutekwa kwa Uwanja wa Ndege wa Baghdad zilikuwa ni proganda za Marekani kumbe ni kweli umetekwa!
"The Cruise missiles do not frighten anyone. We are catching them like fish in a river. I mean here that over the past two days, we managed to shoot down 196 missiles before they hit their target."
"We made them drink poison last night and Saddam Hussein's soldiers and his great forces gave the Americans a lesson which will not be forgotten by history. Truly."
Clips collection ya mikutano yake na Media: