LICHADI
JF-Expert Member
- Feb 4, 2015
- 4,491
- 12,560
Nimeukumbuka sana huu mchezo[emoji23][emoji23] siku moja tupo uwanjani, mpira baada ya kutoboka tutahamia kwenye huu mchezo, na mimi nilikuwa kibonge hatari yaani kukimbia ni mtihani
Mchanga ukajazwa kijiti kikachomekwa kwenye mchanga kwa juu, tukaanza kuufokoa, atakayedondosha kijiti anakula makofi hadi akimbilie kushika mti ambao tumekubaliana, akifika hapo na kuushika ndio ponea yake[emoji23][emoji23][emoji23]
Ile kufokoa wee mara paap kijiti nikakidondosha mimi bwanaa[emoji23][emoji23][emoji23], nilichezea makofi yamgongo hadi nilizimia kuja kuzinduka nipo hospitali, na ndio ukawa mwisho wa kucheza michezo ile[emoji1][emoji23][emoji23][emoji23]