Wangapi tuliwahi kucheza mchezo hatari wa 'kula mbakishie baba' utotoni?

Wangapi tuliwahi kucheza mchezo hatari wa 'kula mbakishie baba' utotoni?

LICHADI

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2015
Posts
4,491
Reaction score
12,560
Nimeukumbuka sana huu mchezo[emoji23][emoji23] siku moja tupo uwanjani, mpira baada ya kutoboka tutahamia kwenye huu mchezo, na mimi nilikuwa kibonge hatari yaani kukimbia ni mtihani

Mchanga ukajazwa kijiti kikachomekwa kwenye mchanga kwa juu, tukaanza kuufokoa, atakayedondosha kijiti anakula makofi hadi akimbilie kushika mti ambao tumekubaliana, akifika hapo na kuushika ndio ponea yake[emoji23][emoji23][emoji23]

Ile kufokoa wee mara paap kijiti nikakidondosha mimi bwanaa[emoji23][emoji23][emoji23], nilichezea makofi yamgongo hadi nilizimia kuja kuzinduka nipo hospitali, na ndio ukawa mwisho wa kucheza michezo ile[emoji1][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Aisee mimi nilipenda sana ule wa kombolela maana tukienda kujificha na demu hatuonekani hata mchezo ukikombolewa hatuji ng'oo tunafanya yetu
 
Aisee mimi nilipenda sana ule wa kombolela maana tukienda kujificha na demu hatuonekani hata mchezo ukikombolewa hatuji ng'oo tunafanya yetu
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mimi huo mchezo niliucheza shule ya msingi aisee nilipigwa mpaka kaka mkuu alikuja kunitetea ,tangu siku hiyo watu nikiona watu wanacheza huo mchezo huo napita mbali
 
Mimi huo mchezo niliucheza shule ya msingi aisee nilipigwa mpaka kaka mkuu alikuja kunitetea ,tangu siku hiyo watu nikiona watu wanacheza huo mchezo huo napita mbali
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kula mbakishie baba pacha wake ni TOBO BAO huu tulikuwa tunacheza mpira ukipigwa tobo ni kichapo hadi ukaguse nguzo ya umeme. Sasa tulikuwa na mchezo ukipigwa tobo au ukiangusha kijiti kuna watu wanawahi kwenye nguzo wanakusubiri,hapo dawa ni kukimbilia uelekeo wa home!
 
Haha..Michezo ya zamani ilikua Raha sana..kula mbakishie baba..kombolela..kuna ile mtu anazinga anaweka mkono kwenye mti.. Ukipenya kwenye tobo umemuokoa

Wadada tulikua na Rede ya mstari kati basis sikumoja nilipigwa ndei La kifua narudi home nalia..Mama nae akanitimua rudi ukouko..dah
Huo ulikuwa unaitwa kidali...plus kwenye rede madada wakicheza sisi wavulana kaz yetu ilikuwa ni kukaa pembeni tukiangalia machejo ili tuone vyupi..aka bahasha..na kutumwa kufata mipira ya mbali.

Ilikuwa raha saana enzi hizo..., Kulikuwa na kibaba baba na kujipikilisha..hapo ukiambiwa wewe kuwa mtoto unanuna na unasepa..dili ilikuwa ni kuwa baba...mliocheza mmenielewa.....
 
Kula mbakishie baba pacha wake ni TOBO BAO huu tulikuwa tunacheza mpira ukipigwa tobo ni kichapo hadi ukaguse nguzo ya umeme. Sasa tulikuwa na mchezo ukipigwa tobo au ukiangusha kijiti kuna watu wanawahi kwenye nguzo wanakusubiri,hapo dawa ni kukimbilia uelekeo wa home!

Hahahahahaa na ukikimbia unaitwa mtoto wa mama.
 
  • Thanks
Reactions: Cyb
Huo ulikuwa unaitwa kidali...plus kwenye rede madada wakicheza sisi wavulana kaz yetu ilikuwa ni kukaa pembeni tukiangalia machejo ili tuone vyupi..aka bahasha..na kutumwa kufata mipira ya mbali.

Ilikuwa raha saana enzi hizo..., Kulikuwa na kibaba baba na kujipikilisha..hapo ukiambiwa wewe kuwa mtoto unanuna na unasepa..dili ilikuwa ni kuwa baba...mliocheza mmenielewa.....
Hahahaha..Mimi nilikuaga mtoto ilikua raha sababu tulikua tunapika kikwelikweli ..ilikua wakwanza kula ni mtoto basi full Raha
 
Hahahahahaa na ukikimbia unaitwa mtoto wa mama.
Umenikumbusha enzi izo unamwita mwenzio eti uyu boy..ukimaanisha mfanyakazi wako au mtumwa...kwaiyo mtoto mwenzio ukimwambie we boy anamaindi na ugomvi juu...

Na kulikuwa na dhana ya mtoto wa kiume kutokaa katikati..tukaimba kondakta dereva, mama katikati...[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Hahahaha..Mimi nilikuaga mtoto ilikua raha sababu tulikua tunapika kikwelikweli ..ilikua wakwanza kula ni mtoto basi full Raha
Hahahah...wakati nkicheza kama mtoto nlikuwa najiuliza saana....eti yul e anaecheza baba au mama anawaambia mwende kununua mboga dukani mbaaali alaf mchelewe kurudi...

Sasa kuna mwehu mmoja kwenye kujipikilisha si akachkua yale maua mgomba akachanganya kwenye kikopo...basi tulivimba midomo na ulimi wooote kama mondi yani[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Back
Top Bottom