Kommando muuza madafu
JF-Expert Member
- Aug 30, 2022
- 3,216
- 7,254
Angekuwa amevaa hijab usingesema hayo we Mkuresh wa Kibengu πππHamna upmbanaji wowote ni content creator hata kulima anaogopa , anachukua tu video ..Mavazi tu unajua sio mkulima .
Naona umeingiza udini , acha kujishtukia wewe.Angekuwa amevaa hijab usingesema hayo we Mkuresh wa Kibengu πππ
Acha uongo mzee binti ni mtanzania na anafanya kilimo na ufugaji sumbawanga huko sema tu kuna mitandao mnaidharau ila ukiingia tiktok anakuwa live almost kwa wiki maramoja au mbili mbona watu kibao wanamfahamu ....sema kwa natural beauty yake picha zake zimetumika na pages kibao mpaka za nigeria huko hivyo kupelekea watu kutojua uraia wake ila ni mbongo puuureKuweka taarifa sawa ni Raia wa burknafaso(sijui inaandikwa hivyo)
Anaongea kifaransa na kiingereza
Ni mkulima
Ni aina ya mabinti ambao wamegeukia kilimo ukienda kule SA wako wengi sana hata hapa kwetu naona wameanza hasa mikoani ila soko linazingua
ikawajeNimewahi kuongea nae tiktok kwenye live yake binti ni mTanzania halisia na kiswahili kizuri cha kibongo na anafanya kilimo cha mpunga sumbawanga huko sema kwa jinsi alivyo lazima kuna sponsor kawekeza hapo maana binti ni analima kisasa sana na pia ni mfugaji huko huko sumbawanga. Hadi tulipanga tuonane nimpeleke bonde la usangu Mbeya wilaya ya Mbarali akacheki kama anaweza kulima mpunga pia huko. Na mpaka namba alinipatia tukawa tuna wasiliana sana whatsapp video call akiwa kwenye field zake za kilimo. Ila aliniambia kaolewa but vidoleni hana pete.