Nimewahi kuongea nae tiktok kwenye live yake binti ni mTanzania halisia na kiswahili kizuri cha kibongo na anafanya kilimo cha mpunga sumbawanga huko sema kwa jinsi alivyo lazima kuna sponsor kawekeza hapo maana binti ni analima kisasa sana na pia ni mfugaji huko huko sumbawanga. Hadi tulipanga tuonane nimpeleke bonde la usangu Mbeya wilaya ya Mbarali akacheki kama anaweza kulima mpunga pia huko. Na mpaka namba alinipatia tukawa tuna wasiliana sana whatsapp video call akiwa kwenye field zake za kilimo. Ila aliniambia kaolewa but vidoleni hana pete.