Wangapi tunahitaji kufahamu ukweli juu ya huyu binti?

Wangapi tunahitaji kufahamu ukweli juu ya huyu binti?

Anaitwa Reyna Ngomuo kama sijakosea
Kabila ni Mchaga
Anajihusisha na Kilimo na Ufugaji
Location nitarudi.
 
Wewe ndio umeandika kimbea na chuki ndani yake,kwenye jamii chochote kizuri kinapaswa kujadiliwa ili kuwa inspire wengine wakifanye
shida uko emotional sana ndio maana kila anayekujibu unamjibu kwa jazba ,shida yako sizani hata anachofanya bint huyo kimekuvutia ,zaidi unachotaka comments ni comment za kingono huna issue ,na uzuri wote wamekupa za usoo
 
Mkuu kama bado ni kijana achana na hiyo roho ya kichawi kabla hujakua mchawi kamili
 
Kama jamaa alivyomchana hapo juu, huyo binti sasa ndio habari ya mjini kwa Gen Z wetu. Wanashinda kutwa nzima mitandaoni wakibishana kuwa huyo ni wa nchi gani? Wengine Botswana wengine Tanzania.

Vijana wanataka wapigane kwa ajili ya kutaka kujua ni wa nchi gani. Kwa kuwa ni mrembo, hawaamini kama.anafanya Kilimo.

Wanaamini sisi wakulima ninwatu tunaokosa hata mafuta ya kupaka kama alivyopaka huyo binti ndio maana wanashindana.

Inasikitisha sana.
Sasa uyu anaurembo Gani?
 
Bint ni mpambanaji hasa
 
Attachments

  • itc_reyna_20240824_reel_3441556968214016788_1_3441556968214016788.mp4
    96.4 MB
Mkuu kama bado ni kijana achana na hiyo roho ya kichawi kabla hujakua mchawi kamili
ukijibiwa na ukipewa ukweli unatoka kwenye madaaa, sijawai kuwa na roho hiyo ,ila vijana wa ovyo mnavyokuja kiovyo lazima tuwatolee uvivu
 
Mwingine huyo hapo
 
Hamna upmbanaji wowote ni content creator hata kulima anaogopa , anachukua tu video ..Mavazi tu unajua sio mkulima .
 
Back
Top Bottom