Hii ni ngumu sana hasa kwetu sisi Wabongo maana tuna wivu wa kufa mtu. Ila nchi nyingine mahusiano kama haya yameanza kushamiri ingawaje sidhani kama yataingia katika nchi zetu za Kiafrika.
Mi ninaona hii kuwa ni sawa na zile ndoa ambazo wanandoa amehitilafiana na wakaamua kuishi nyumba moja for tthe sake of watoto na watu watasemaje but usiku kila mtu anaingia chumbani kwake- tofauti ni kuwa hujui wazi but unahisi tu kuwa mwenzio ana mahusiano sehemu.
Hao wanaoonyeshana waza mh.......kwangu isingewezekana hasa nikumbuke kuwa yale masarakasi nlokuwa napewa/tolewa mie anapewa mwingine nimjuaye...mh
mmmhhhh nimesoma poster za nyuma nasikia tayari haya mambo yako Bongo....
lakini wivu si ndo upendo ???
Aah mie hiyo ndoa na ivunjike tu.............haiwezekani kuishi hivyo mwishoe mtaanza na kuleteana watu nyumbani!
..........here is you hug for 2011 as u wished........:hug:
Navyojua mimi, mapenzi ni mambo ya hisia. Mtu akikupenda kabisa hawezi kuwa tayari kukuruhusu ujirushe na mtu mwingine. Ikiwa wapenzi watakubaliana kuwa na wapenzi wa nje basi ni wazi mapenzi yao sasa ni ya kujirusha tu. Kuna nyakati watu hucheat hasa katika age za up to 50 yrs of age baada ya hapo huacha. Generally kwa mapenzi serious hakuna open spirit wala wake wanne.
Nilienda kuhesabiwa kidogo ndo nimerejea, kwema kwako?
mmhhhh kwakweli
asante sana Generation ya tatu..
kweli huo ndo ukweli wa mambo....
Navyojua mimi, mapenzi ni mambo ya hisia. Mtu akikupenda kabisa hawezi kuwa tayari kukuruhusu ujirushe na mtu mwingine. Ikiwa wapenzi watakubaliana kuwa na wapenzi wa nje basi ni wazi mapenzi yao sasa ni ya kujirusha tu. Kuna nyakati watu hucheat hasa katika age za up to 50 yrs of age baada ya hapo huacha. Generally kwa mapenzi serious hakuna open spirit wala wake wanne.
Unaweza kupoteza gari kwa kuibiwa au ajali. Utanunua jingine. Ukipoteza mke au mume, utanunua wapi? Mojawapo ya components za binadamu ni damu (uhai). Watu huchimba vyuma kutengeneza magari lakini hakuna kiwanda cha "blood manufacturing." Maybe I'm too sensitive lakini nadhani kukubaliana kuishi na mtu mmoja miongoni mwa mabilioni ya waliopo duniani ni kitu kikubwa sana. Ah, mapenzi haya bwana!!!
mmmhh samahani 3D
ngawa mwaka umeanza siku 6 zilizopita
bado ningependa kusema Heri ya mwaka mpya..
Nilijaribu kupita huko kwako..........mlango ulikuwa umefungwa all the tyme. I wanted to surprise u!:smilez: