Wangapi wanakubaliana na hili?

Wangapi wanakubaliana na hili?

Hii ni ngumu sana hasa kwetu sisi Wabongo maana tuna wivu wa kufa mtu. Ila nchi nyingine mahusiano kama haya yameanza kushamiri ingawaje sidhani kama yataingia katika nchi zetu za Kiafrika.

mmmhhhh nimesoma poster za nyuma nasikia tayari haya mambo yako Bongo....

lakini wivu si ndo upendo ???
 
Mi ninaona hii kuwa ni sawa na zile ndoa ambazo wanandoa amehitilafiana na wakaamua kuishi nyumba moja for tthe sake of watoto na watu watasemaje but usiku kila mtu anaingia chumbani kwake- tofauti ni kuwa hujui wazi but unahisi tu kuwa mwenzio ana mahusiano sehemu.

Hao wanaoonyeshana waza mh.......kwangu isingewezekana hasa nikumbuke kuwa yale masarakasi nlokuwa napewa/tolewa mie anapewa mwingine nimjuaye...mh

mmmhhh MJ1 umenichekesha kwa kweli..
 
Hivi Babu mie utanikagua lini maana nilikuwa shule sasa tumefunga

hahahah lol
afadhali hata umejileta maana babu alikuwa anakataa tamaa..
alidhani kapoteza kondoo mmoja hahah lol

kwa kweli ataufurahia huu mwaka mpya sana lol
 
mmmhhhh nimesoma poster za nyuma nasikia tayari haya mambo yako Bongo....

lakini wivu si ndo upendo ???

Haya kama yameshaingia wacha wajidai kama tunaweza kuita kujidai.
 
Aah mie hiyo ndoa na ivunjike tu.............haiwezekani kuishi hivyo mwishoe mtaanza na kuleteana watu nyumbani!
..........here is you hug for 2011 as u wished........:hug:
 
mmmhh asante sana yaani..
umepotelea wapi mkuu...

here is ur kiss for 2011
 
Aah mie hiyo ndoa na ivunjike tu.............haiwezekani kuishi hivyo mwishoe mtaanza na kuleteana watu nyumbani!
..........here is you hug for 2011 as u wished........:hug:

Join DateTue Sep 2010LocationIn transit to NZPosts569Thanks44Thanked 65 Times in 55 Posts Rep Power
mmmhhhh hapo kwenye location hapo....
mmhh just catch my atension lo
l
 
Navyojua mimi, mapenzi ni mambo ya hisia. Mtu akikupenda kabisa hawezi kuwa tayari kukuruhusu ujirushe na mtu mwingine. Ikiwa wapenzi watakubaliana kuwa na wapenzi wa nje basi ni wazi mapenzi yao sasa ni ya kujirusha tu. Kuna nyakati watu hucheat hasa katika age za up to 50 yrs of age baada ya hapo huacha. Generally kwa mapenzi serious hakuna open spirit wala wake wanne.
 
mmhhhh kwakweli
asante sana Generation ya tatu..
kweli huo ndo ukweli wa mambo....
 
Nilijaribu kupita huko kwako..........mlango ulikuwa umefungwa all the tyme. I wanted to surprise u!:smilez:
 
Nilienda kuhesabiwa kidogo ndo nimerejea, kwema kwako?

mmmhhhh jamani i hope wameniachia na mie cha kuhesabu hahah lol

mie mzima kabisa na mshukuru Mungu kwa kutuonyesha huu mwaka tu..

vipi how is 2011 so far??
 
mmhhhh kwakweli
asante sana Generation ya tatu..
kweli huo ndo ukweli wa mambo....

Unaweza kupoteza gari kwa kuibiwa au ajali. Utanunua jingine. Ukipoteza mke au mume, utanunua wapi? Mojawapo ya components za binadamu ni damu (uhai). Watu huchimba vyuma kutengeneza magari lakini hakuna kiwanda cha "blood manufacturing." Maybe I'm too sensitive lakini nadhani kukubaliana kuishi na mtu mmoja miongoni mwa mabilioni ya waliopo duniani ni kitu kikubwa sana. Ah, mapenzi haya bwana!!!
 
Navyojua mimi, mapenzi ni mambo ya hisia. Mtu akikupenda kabisa hawezi kuwa tayari kukuruhusu ujirushe na mtu mwingine. Ikiwa wapenzi watakubaliana kuwa na wapenzi wa nje basi ni wazi mapenzi yao sasa ni ya kujirusha tu. Kuna nyakati watu hucheat hasa katika age za up to 50 yrs of age baada ya hapo huacha. Generally kwa mapenzi serious hakuna open spirit wala wake wanne.

mmmhh samahani 3D

ngawa mwaka umeanza siku 6 zilizopita
bado ningependa kusema Heri ya mwaka mpya..
 
Unaweza kupoteza gari kwa kuibiwa au ajali. Utanunua jingine. Ukipoteza mke au mume, utanunua wapi? Mojawapo ya components za binadamu ni damu (uhai). Watu huchimba vyuma kutengeneza magari lakini hakuna kiwanda cha "blood manufacturing." Maybe I'm too sensitive lakini nadhani kukubaliana kuishi na mtu mmoja miongoni mwa mabilioni ya waliopo duniani ni kitu kikubwa sana. Ah, mapenzi haya bwana!!!

mmhh natamani kila mtu apite hapa asome hii
kwa kweli naona unamjibu yote ya hii topic...
asante mkuu UR A GREAT THINKER ...
AD
 
mmmhh samahani 3D

ngawa mwaka umeanza siku 6 zilizopita
bado ningependa kusema Heri ya mwaka mpya..

Asante. Nakutakia heri na wewe pia. I hope sasa unapambana kutekeleza "ilani ya uchaguzi ya Afrodenzi kwa mwaka 2011."
 
So far so GOOD siju huko mbele, au wewe umeshakuona kukoje?! hopefully sio kubaya ahaha lol
 
Nilijaribu kupita huko kwako..........mlango ulikuwa umefungwa all the tyme. I wanted to surprise u!:smilez:

mmmhh jamani hiyo ingekuwa zawadi kubwa kuliko zote nilizopata..

kwa nini ujani BP tu jamani mmmhhh
kwa kweli roho inauma lol
 
Back
Top Bottom