afrodenzi
Platinum Member
- Nov 1, 2010
- 18,150
- 9,255
- Thread starter
- #281
Hii ni ngumu sana hasa kwetu sisi Wabongo maana tuna wivu wa kufa mtu. Ila nchi nyingine mahusiano kama haya yameanza kushamiri ingawaje sidhani kama yataingia katika nchi zetu za Kiafrika.
mmmhhhh nimesoma poster za nyuma nasikia tayari haya mambo yako Bongo....
lakini wivu si ndo upendo ???