Asprin
JF-Expert Member
- Mar 8, 2008
- 68,223
- 96,083
mmmhhhh babu wewe unataka kunimaliza sasa
nimekupa kila kitu hata maini yangu lakini bado huridhiki...
mimi tu ndo mjuu ambae sijaolewa mpaka leo ajili ya kukutunza wewe
lakini bado una lala mika.............
mmmmmmhhhhhh niki kitoa hapa hunioni
hahaahahaahah lol
Orait sasa turudi kwenye mada:
Tunadiskasi mahusiano ya wazi siyo? Yaani yanayofanyika waziwazi bila kificho wala wivu? Au wanakubaliana kufanya mahusiano ya wazi bila ya wao kufumaniana au kumjua anayefanya mahusiano wazi na mpenzie.
Hebu niweke sawa kwanza hapo afroie. Haya maopen releshenship walikubaliana kuwa mi kesho natoka ntalala kwa babu na jamaa linamruhusu au wanafanya kwa kificho?