Wangapi wanakubaliana na hili?

Wangapi wanakubaliana na hili?

mmmhhhh babu wewe unataka kunimaliza sasa
nimekupa kila kitu hata maini yangu lakini bado huridhiki...
mimi tu ndo mjuu ambae sijaolewa mpaka leo ajili ya kukutunza wewe
lakini bado una lala mika.............
mmmmmmhhhhhh niki kitoa hapa hunioni
hahaahahaahah lol

Orait sasa turudi kwenye mada:
Tunadiskasi mahusiano ya wazi siyo? Yaani yanayofanyika waziwazi bila kificho wala wivu? Au wanakubaliana kufanya mahusiano ya wazi bila ya wao kufumaniana au kumjua anayefanya mahusiano wazi na mpenzie.

Hebu niweke sawa kwanza hapo afroie. Haya maopen releshenship walikubaliana kuwa mi kesho natoka ntalala kwa babu na jamaa linamruhusu au wanafanya kwa kificho?
 
BABU MERRY CHRISTMAS oopppss!!!! dah!! HERI YA MWAKA MPYA

Kajukuuu hujambo?

Halafu wewe una kesi ya kujibu...ngoja kwanza babu akae sawa kwenye kigoda chake asije kuumalizia mgongo uliokongoroka!
 
Hebu itamke kwa sauti nikusikie

hahahahahah lol
baba watoto huu ni uchokozi sasa...
mi nataka kukuacha (open relation ship)
kwa sababu ya haya maneno yako hahahhahahahahahaahh lol
 
Orait sasa turudi kwenye mada:
Tunadiskasi mahusiano ya wazi siyo? Yaani yanayofanyika waziwazi bila kificho wala wivu? Au wanakubaliana kufanya mahusiano ya wazi bila ya wao kufumaniana au kumjua anayefanya mahusiano wazi na mpenzie.

Hebu niweke sawa kwanza hapo afroie. Haya maopen releshenship walikubaliana kuwa mi kesho natoka ntalala kwa babu na jamaa linamruhusu au wanafanya kwa kificho?

Babu mbona unataka kutuangusha wazee wenzio...Unaanzia wapi kujadili bangi tupu? Mbona hata wanyama wana kanuni zinazoeleweka na wanakuwa na territory zisizoingiliwa na nyau yeyote? Sasa haya mambo ya kuanza kuruhusu pimbi na vicheche unajadili ya nini mzee mwenzangu?

Waache wafu wazike wafu wao...Katika hili sisi tunaendelea na mambo yetu ya 1947!
 
hahahahahah lol
baba watoto huu ni uchokozi sasa...
Mi nataka kukuacha (open relation ship)
kwa sababu ya haya maneno yako hahahhahahahahahaahh lol

open - wazi
relation - uhusiano
ship - meli

yaani unamaanisha uhusiano wazi wa meli
 
Babu mbona unataka kutuangusha wazee wenzio...Unaanzia wapi kujadili bangi tupu? Mbona hata wanyama wana kanuni zinazoeleweka na wanakuwa na territory zisizoingiliwa na nyau yeyote? Sasa haya mambo ya kuanza kuruhusu pimbi na vicheche unajadili ya nini mzee mwenzangu?

Waache wafu wazike wafu wao...Katika hili sisi tunaendelea na mambo yetu ya 1947!

Nadhani nazeeka vibaya.

Hawa vijana wa siku hizi bana.
 
Orait sasa turudi kwenye mada:
Tunadiskasi mahusiano ya wazi siyo? Yaani yanayofanyika waziwazi bila kificho wala wivu? Au wanakubaliana kufanya mahusiano ya wazi bila ya wao kufumaniana au kumjua anayefanya mahusiano wazi na mpenzie.

Hebu niweke sawa kwanza hapo afroie. Haya maopen releshenship walikubaliana kuwa mi kesho natoka ntalala kwa babu na jamaa linamruhusu au wanafanya kwa kificho?

haya babu naoa sasa umerudi kwa nguvu zote (asante ugoro) lol
ni kama vile hivi baba anawezatoaka anaenda mahali bila kuomba ruhusa....
na mama naye afanya vivo hivyo..
watakuwa wanalala na watu wengine nje ya ndoa yao
kwa hiyo hata ukifumaniwa hakunashida
lakini hakuna ugomvi wala kuomba msamaha....
na huwaga makubaliano kama wana watoto hawaleti watu hapo nyumbani..

na nyie mtakuwa bado mnakutana kimwili kama bado mnataka..
yaani kwa kifupi ni kwamba mmekubaliana kutenda tendo la ndoa na watu wengine...
lakini kila kitu ndani ya ndoa yenu iko kama kawaida except sex....sababu hiyo ni optional kama uko kwenye open relationship
hopeful umenielewa kidogo lol

AD
 
Mh sasa na ile usemi wa mke moja mme moja vp? wanahatari hawa!

hamna kitu mke mmoja mume mmoja watu wanazuga tu! labda iwe hivi, mke au mume mmoja wa ndoa na wake wasio na idadi nje ya ndoa kwa upande wa wanaume! kwa wanawake most of them wanakuwa decent sana unless wakiwa frustrated na waume zao au awe mfanya biashara ya kuuza ile kifaa ya ndoa! otherwise mwanaume akiwa hivyo heri kila mmoja achukue 50 zake akaanze life upya. au tuishi tu lakini no uhusiano wa ki-ndoa
 
haya babu naoa sasa umerudi kwa nguvu zote (asante ugoro) lol
ni kama vile hivi baba anawezatoaka anaenda mahali bila kuomba ruhusa....
na mama naye afanya vivo hivyo..
watakuwa wanalala na watu wengine nje ya ndoa yao
kwa hiyo hata ukifumaniwa hakunashida
lakini hakuna ugomvi wala kuomba msamaha....
na huwaga makubaliano kama wana watoto hawaleti watu hapo nyumbani..

na nyie mtakuwa bado mnakutana kimwili kama bado mnataka..
yaani kwa kifupi ni kwamba mmekubaliana kutenda tendo la ndoa na watu wengine...
lakini kila kitu ndani ya ndoa yenu iko kama kawaida except sex....sababu hiyo ni optional kama uko kwenye open relationship
hopeful umenielewa kidogo lol

AD

Ahaa...kama hapo kwenye bold panahusika angalau naweza kuelewa.

Kuna jamaa nnamfahamu naye anaishi na mkewe kwa mtindo huo. Makubaliano yao ni kuwa wasubiri watoto wakue kila mtu achukue hamsini zake. Wanashindwa kuachana kwa ajili ya kutowaharibu watoto kisaikolojia. Kama wanakubaliana kwa mtindo huo, na ngono kati yao haihusiki, hilo halinishangazi kwa kuwa nalishuhudia kwa huyu mutu.

Lakini kiukweli, hilo kwa babu ni kama malaria: HALIKUBALIKI. Ni either tusameheane tuendelee na shughuli zetu kitandani au kila mtu achukue hamsini zake. Siwezi lala na mwanamke ambae nna uhakika ametoka kubanjuliwa huko anletee shombo lake.... HAKYA MUNGU TENA. (Hapo nimeapa kwa msisitizo)
 
ahaa...kama hapo kwenye bold panahusika angalau naweza kuelewa.

Kuna jamaa nnamfahamu naye anaishi na mkewe kwa mtindo huo. Makubaliano yao ni kuwa wasubiri watoto wakue kila mtu achukue hamsini zake. Wanashindwa kuachana kwa ajili ya kutowaharibu watoto kisaikolojia. Kama wanakubaliana kwa mtindo huo, na ngono kati yao haihusiki, hilo halinishangazi kwa kuwa nalishuhudia kwa huyu mutu.

Lakini kiukweli, hilo kwa babu ni kama malaria: Halikubaliki. Ni either tusameheane tuendelee na shughuli zetu kitandani au kila mtu achukue hamsini zake. Siwezi lala na mwanamke ambae nna uhakika ametoka kubanjuliwa huko anletee shombo lake.... hakya mungu tena. (hapo nimeapa kwa msisitizo)

unamaanisha samaki
 
Ahaa...kama hapo kwenye bold panahusika angalau naweza kuelewa.

Kuna jamaa nnamfahamu naye anaishi na mkewe kwa mtindo huo. Makubaliano yao ni kuwa wasubiri watoto wakue kila mtu achukue hamsini zake. Wanashindwa kuachana kwa ajili ya kutowaharibu watoto kisaikolojia. Kama wanakubaliana kwa mtindo huo, na ngono kati yao haihusiki, hilo halinishangazi kwa kuwa nalishuhudia kwa huyu mutu.

Lakini kiukweli, hilo kwa babu ni kama malaria: HALIKUBALIKI. Ni either tusameheane tuendelee na shughuli zetu kitandani au kila mtu achukue hamsini zake. Siwezi lala na mwanamke ambae nna uhakika ametoka kubanjuliwa huko anletee shombo lake.... HAKYA MUNGU TENA. (Hapo nimeapa kwa msisitizo)

yaani babu nimefurahi sana kusikia haya kutoka kwako..
lakini siunajua tena hawatu wa huku mashariki ya mbali mila zao na desturi zao ni tofauti sana na zetu...
ha mie nakuunga mkiono asilima ya mia kwa ulicho kisema AMEN
lakini kumbuka ni wote watakuwa wanfanya hivyo si mwanamke tu...
 
Back
Top Bottom