Wanne mbaroni kuhusiana na kesi ya James Temba

mambo ya recycle bin hayo
 
Pia Kigogo kati ni maskani ya vibaka wengi
 
Ndio huyo mkuu, mpaka leo sijaona updates yake kama jamaa walikamatwa au yule dada sijui alifariki au La watekaji walipatikana. Ilikua story kubwa humu JF. Hamnaga updates bongoland.
Yule dada alifariki mbona maana si walimchoma moto

Ile kesi haikusikika tena

Ova
 
Sasa kama ni mapenzi, hawa wengine wameingiaje? Just najiuliza tu

Binafsi nadhani ni mambo ya hela, itakuwa kawapiga hela wakaungana na kuamua kummaliza!
Hio dp ni ww mkuj
 
Asante mkuu 🙏
 
Aah wap, kama mawasiliano yalikuwepo,oda akatoa ,muamala ukasoma atatokaje hapo Mzee?
Tambua kwamba Ofisa maabara hakushika shoka/kisu/panga kumchicha Temba na anaweza akawaambia Detectives waonyeshe DNA traces yake kwenye vielelezo kama alihusika kumuua Temba.

Issue za kumtia mtu hatiani inatakiwa kusiwe na loopholes za kuponyoka.
 
Wakitrace simu na mawasiliano yakaonekana kuwa alishawasiliana n a hao killers hakuna sehem atachomokea regardless alikuwa kilimanjaro
Kama namba ya simu labda imesajiliwa kwa jina lake hapo sawa ila kama jina la mtu mwingine anaruka FUTI 100.
 
Yule alifariki, anaitwa martha kama sikosei
 
Mfano anaoponda system hapa JF ukisikia kauawa kikatili nani atamfahamu? maana wengi hapa ni fake IDs, unakuja kurubunika PM unatoa location, umeisha..

Mimi kiukweli imani na polisi sina. Kila wanachoongea naona ni uongo, siwaamini kabisa.
Kuna washenzi ni wakongwe humu, eti waakafurahia mfumo mpya wa jf utakao kuwa unaonesha location ya mchangiaji eti kuwadhibiti matapeli, elimu yetu Huwa ni fake, Haina msaada kama great thinker wa jf anashadadia huu mfumo bila kuangalia mbele, inafikirisha sana
 
Baba wa Marehemu wakati anahojiwa, alisema kuna bint alipiga simu na kuumuliza James, wakati familia inamtafuta, walipoipiga tena haikupatikana tena.....
Ukute hapo walikuwa washafanya yao sasa ameanza kuhangaika na damu ya mtu akapiga simu ili awape ishara flani washtuke labda, yaani basi tu yaani inauma mno
 
Aisee yaani mgeni anaijua Nchi kuliko mwenyeji kweli sie bado tunaishi enzi za ujima.
Watujua vizuri sana, ndio maana kunakuwa na uzito sana hata kuita wachunguzi kutoka nje wa matukio kama MO29, wale wakija itakuwa balaa.
 
Sheria ifate mkondo wake
Inasikitisha zaidi ya sana "APUMZIKE KWA AMANI JAMES TEMBA"
 
Ulikuwa Rombo wakati ulikuwa mbagala ni mstari muhimu sana lazima wakuminye.
 
Pia mawasiliano yataonesha waliowasiliana nae walikuwa wapi(minara ndio inasema hapa). Sasa wewe wadanganye siku ya tukio ulikuwa Rombo huku simu yako inaonesha
Hivi wakiingia huko kwenye mtambo wao si wanaweza pata na kuchukua Hadi voice note ambayo ni maongezi ya mipango hiyo ya mauaji ya hao majamaa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…