Wanne mbaroni kuhusiana na kesi ya James Temba

Wewe sikia tu kuhusu utapeli , unauma sana .
 
Mfano anaoponda system hapa JF ukisikia kauawa kikatili nani atamfahamu? maana wengi hapa ni fake IDs, unakuja kurubunika PM unatoa loation, umeisha..

Mimi kiukweli imani na polisi sina. Kila wanachoongea naona ni uongo, siwaamini kabisa.
Na hiyo watu kutokuwa na imani na polisi,ina wapa njia watenda maovu,maana wanajuwa tukifanya tukio la kumteka mtu au kuua
Raia mtu wa kwanza kumhisi ni wazee wale wa ----
Na hali ikizidi kuendelea kama nchi itakuwa sehemu mbaya sana

Ova
 
Kama una gundu la bundi, siku mbili nyuma kabla ya kukatwa kichwa umewasiliana nae, na ukamuwashia moto, but hauhusiki na kifo chake, mara police wanatrace namba wanaikuta na yako iko juu juu current call...uwiii unaenda kuminywa mbupuu!
Na huu ndo ubaya wa vyombo vyetu vya usalama, unaweza kutana na rafiki yako leo, usiku likatokea tukio huko aliko na mishe zake labda kavamiwa na kuuawa, ukawa na wewe ni mingoni mwa watuhumiwa kisa tu ulikuwa wa mwisho kumpigia simu ukimuuliza kama yupo nyumbani.
 
Na hiyo watu kutokuwa na imani na polisi,ina wapa njia watenda maovu,maana wanajuwa tukifanya tukio la kumteka mtu au kuua
Raia mtu wa kwanza kumhisi ni wazee wale wa ----
Na hali ikizidi kuendelea kama nchi itakuwa sehemu mbaya sana

Ova
Wa kulaumiwa ni hao hao polisi.
 
Sasa kama ni mapenzi, hawa wengine wameingiaje? Just najiuliza tu

Binafsi nadhani ni mambo ya hela, itakuwa kawapiga hela wakaungana na kuamua kummaliza!
 
Exactly mkuu...too bad 😞
 
Na kibaya zaidi bongo ukituhumiwa just tuhuma tu, watu wana conclude we ndo muuaji!
 
Pole sana kwa kijana james temba

NB. KUHUSU KIFO CHA DOGO NAPATA NADHALIA TATU TATA.

Na hakika nadharia zangu tatu lazima moja itakua ndio sababu.
 
Kama ni watuhumiwa wa kweli na siyo kubambikwa kupoteza maboya, tunataka waoneshe kichwa walipokipeleka.

Isije ikawa ni ishu
ya kushusha munkali ya jamii huku watuhumiwa og wakitokomea kusikojulikana.
 
Kazi nzuri polisi..
Usijifariji mapema na kutoa sifa

Kuna mtu yawezekana kati yao alikuwa anagongewa ila limemkuta kwakuwa walimwengu wamepima maumivu yake na tukio na wametoa ushirikiano

NB: Ni jambo jema kufatilia hili lakini kama vyombo vya usalama kwa heshima zote🙏

Mbaki jinsi mlivyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…