Scape goats?Jeshi la Polisi Kanda Maalum Dar es Salaam linaendelea na uchunguzi wa tukio la mauaji ya kikatili ya mwanafunzi wa Chuo cha IFM, James Rogers Temba, ambaye mwili wake ulikutwa ukielea kwenye maji ya Mto Msimbazi, eneo la Kipawa Ilala ukiwa hauna kichwa, Aprili 30, 2026.
Polisi tayari imewakamata watuhumiwa wanne kuhusiana na tukio hilo, akiwemo Steven Rogers Chaka (31), mkazi wa Bomang’ombe mkoani Kilimanjaro na Afisa Maabara; Anna Frank Lema maarufu kama “Happines” (30), mfanyabiashara mkazi wa Tabata Chang’ombe; Twalibu Khamis maarufu “Mputo” (23) pamoja na Michael John maarufu “Tambali” (26), wote wakazi wa Kigogo Kati.
Hapo ukiunganisha Dots si unaona kwamba Afisa Maabara Demu wake ni Happiness na James temba alikuwa anakula Happiness ,so Ofisa Maabara ikabidi akodishe hao Masela "Mputo" na "Tambali" ndiyo wakamaliza kazi ,Hayo majina yanaonyesha ni "MANDONGA WATU KAZI".
Ni kweli, kuanzia serikali.Na mfumo pia maana watenda maovu wanawaiga
Ova
Watoto wa kigogo na bangiMovies zimewadanganya wametekeleza mauaji ya kutisha sana
Kama wale wanasema wengi wanaotekwa na kupotezwa ni sababu ya wivu ya mapenzi,dhuluma nkNi kweli, kuanzia serikali.
Hao ni watuhumiwa tu mpaka sasa.Sasa kama ni mapenzi, hawa wengine wameingiaje? Just najiuliza tu
Binafsi nadhani ni mambo ya hela, itakuwa kawapiga hela wakaungana na kuamua kummaliza!
Binadamu ni Wanyama wenye Utashi tu.Wabongo ni wakatili kama binadamu wengine wowote tu wale, kitu ambacho tulikuwa hatujapata ni vichocheo au mazingira, kadri muda unavyoenda hivi vichocheo na mazingira yanakuwepo na hapo ndipo ilo evil nature iliyo katika binadamu wengi inajidhihirisha sasa.
Sahihi.Binadamu ni Wanyama wenye Utashi tu.
Asee mkuu hongera sana...umenifungua ubongo waah!Yes mkuu huo ndiyo ukweli ,nilitaka niandike tangia siku ile ya tukio sema nilikuwa porini internet ilikuwa shida.
"Mimi naona mbali kwa darubini kali" - Afande Sele.
Hivi huyo kuna mtu anamsikiliza na kuweka mambo yake kichwani?Erythrocyte kwa hili, huoni aibu na uzi wako
Kwa yaliyokutokea liwe Fundisho kwamba, wanapotekwa wengine tupige kelele pamoja.
Nitakutafuta nikupe pole ya Ana kwa Ana utakaporudi kuzika
Kwa Kukumbusha tu ni Kwamba Mh Temba ni miongoni mwa wasanii waliokuwa wanatumbuiza kwenye Kampeni za Samia 2025 huku akiwa kavalia fulana na Kofia ya SSH
×××××××
Mrejesho.
×××××××
Nilishakutana na Mh Temba nikampa pole
- Erythrocyte
- Replies: 109
- Forum: Jukwaa la Siasa
Na mimi ndicho naamini.Kama wale wanasema wengi wanaotekwa na kupotezwa ni sababu ya wivu ya mapenzi,dhuluma nk
Hii kauli imewapa sana watenda maovu njiaa!
Na huku chini watu wakifanyiana potezana raia
Inajuwa ni watu wa mfm ndy wametekeleza
Ova
Ni bora ukajitafakari, maana matusi yanapatikana kwa mtu ambaye amefulia uwezo wa kujenga hoja.Unawezaje kumuamini Muliro! Bila shaka huna akili au umelogwa
Deep thinker👍Yes kaka upo sahihi
Huenda afisa maabara aliwaambia kabisa wakina " mputo " na "Tambali " mkisha maliza kazi nileteeni kichwa chake nikione.
Mkuu miaka 23 tayari anajua baya na zuriMkuu kwa Dunia ya sasa kila kitu kinawezekana,
Hawa wenye umri mdogo ndio rahisi zaidi kutumika coz akili zao bado zinakua hazijakomaa kisawasawa ili kupima madhara ya baadae kwa wanachokifanya.
Ukifanya fujo utapigwa , yaani kama bado una ujinga basi kafanyeni tena ..Eti serikali makini 🤣🤣..!
Kweli ni makini, tumeona majibu ya tume HURU ya Chande kuhusu 29/10
Mimi nilishukuru kwa hatua hiyo nawe mwenye akili yakugongewa nani timamu?!Usijifariji mapema na kutoa sifa
Kuna mtu yawezekana kati yao alikuwa anagongewa ila limemkuta kwakuwa walimwengu wamepima maumivu yake na tukio na wametoa ushirikiano
NB: Ni jambo jema kufatilia hili lakini kama vyombo vya usalama kwa heshima zote🙏
Mbaki jinsi mlivyo
Sawa wewe mjuaji kuliko mimiMimi nilishukuru kwa hatua hiyo nawe mwenye akili yakugongewa nani timamu?!
I wish hii kesi iwe update km ya yule Marijani aliyemchoma mkewe.IWatoto wa kigogo na bangi
Sio rahisi hivyo. Huwa wanafuatilia wanaacha namba ambazo wamegundua ni calls za kawaida. Kuna jamaa tulikuwa tunafanya biashara ya aina moja. Mara nyingi huwa tunashare stock ikiisha nachukua kwake na yeye vivyo hivyo. Kumbe nyuma ya pazia anauza mzigo wa Colombia. Wazee wakamfuatiliq mpaka wakamuingiza kingi. Mimi bila kujua nikawa namtafuta sana na kumtumia msg nauliziq mzigo halali simu walasg hazipokelewi baadae simu yake ikawa haipatikani kabisa. Baada ya wiki mbili nikasikia Kala miaka 30 jela kwa kuuza mzigo wa Colombia. Hata mimi nilikuwa under microscope.Kama una gundu la bundi, siku mbili nyuma kabla ya kukatwa kichwa umewasiliana nae, na ukamuwashia moto, but hauhusiki na kifo chake, mara police wanatrace namba wanaikuta na yako iko juu juu current call...uwiii unaenda kuminywa mbupuu!
Ngoja tumsikie muliro atakuja na majibu ganiInawezekana pia ila kwa hii issue ya kukatwa kichwa ni Mapenzi Mabaya Mapenzi Mabaya ,Mke wa mtu ni sumu usijaribu chombeza.