Ukiangalia wengi wa wale wanaoishabikia CCM ni wale wanaolipwa au kufaidika kibinafsi na uwepo wa CCM. Labda ni viongozi, au wazazi na ndugu zao ni viongozi au wanufaika wa CCM kwa namna moja au nyingine.
Ni wakati mzuri sasa wa kuondokana na CCM na mfumo waliokwisha kuujenga kwa miaka zaidi ya 60 na kuendelea nchini. Ni chama ambacho wenye maslahi yao binafsi ndio wanakitegemeza na ndio maana hofu kubwa na kutanda kwa polisi Dar ni kwasababu ya hofu ya Umma wa watanzania ambao wengi hawakipendi chama hiki.