Wanoishabikia CCM ni wale wanaolipwa na CCM, wasitutoe nje ya mstari wa kupigania haki, uhuru na amani ya Taifa letu.

fazili

JF-Expert Member
Joined
Jun 10, 2011
Posts
16,427
Reaction score
22,418
Ukiangalia wengi wa wale wanaoishabikia CCM ni wale wanaolipwa au kufaidika kibinafsi na uwepo wa CCM. Labda ni viongozi, au wazazi na ndugu zao ni viongozi au wanufaika wa CCM kwa namna moja au nyingine.

Ni wakati mzuri sasa wa kuondokana na CCM na mfumo waliokwisha kuujenga kwa miaka zaidi ya 60 na kuendelea nchini. Ni chama ambacho wenye maslahi yao binafsi ndio wanakitegemeza na ndio maana hofu kubwa na kutanda kwa polisi Dar ni kwasababu ya hofu ya Umma wa watanzania ambao wengi hawakipendi chama hiki.
 
Tanzania kama Somalia watu wanatembea na SILAHA ZA KIVITA
 
SAY NO TO RAPE : Incidents of sexual violence, particularly rape and defilement against students, have been on the rise in various areas
 

Attachments

  • 20240922_105753.jpg
    96.6 KB · Views: 4
  • 20240922_105805.jpg
    134.3 KB · Views: 4
  • 20240922_105819.jpg
    91.6 KB · Views: 4
Kipi Bora kulipwa na CCM (Tanzania) au Mabeberu?
 
Mkuu hata hao ulio wataja namo wamo wanao ichukia ccm
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…