GE2025 Wanu: Mimi ni mwanafunzi wa Rais samia wasiwe na wasi wasi, atakavyotiki kwake na kwangu wakatiki

GE2025 Wanu: Mimi ni mwanafunzi wa Rais samia wasiwe na wasi wasi, atakavyotiki kwake na kwangu wakatiki

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
3,141
Reaction score
7,205
“Nimewasikia watani wetu katika mkutano wako kuwa wao hawana shida na Rais Samia lakini wanashida na mimi, niwatoe hofu kuwa mimi ni mwanafunzi wa Dkt Samia kama watakavyotiki kwake na kwangu wakatiki nikawaonyesha maaana ya uongozi” alisema Wanu ambae ni mtoto wa Rais Samia na Mgombea Ubunge Jimbo la Makunduchi

These idiots have turned this country into a family business!
 
“Nimewasikia watani wetu katika mkutano wako kuwa wao hawana shida na Rais Samia lakini wanashida na mimi, niwatoe hofu kuwa mimi ni mwanafunzi wa Dkt Samia kama watakavyotiki kwake na kwangu wakatiki nikawaonyesha maaana ya uongozi” alisema Wanu ambae ni mtoto wa Rais Samia na Mgombea Ubunge Jimbo la Makunduchi

Kataa wezi ,kataa wahuni...Dully ,Kizigha ndiyo waambie wawatikieni.
 
Mgombea Ubunge Jimbo la Makunduchi kwa Tiketi ya Chama cha Mapinduiz CCM Mheshimiwa Wanu Hafidh Ameir amewatoa hofu baadhi ya vyama vya upinzani walionyesha kuwa na imani na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan na kwamba yeye pia ni mwanafunzi wa Rais Samia hivyo hawanabudi kuwa na hofu ya uongozi wake kwa nafasi hiyo

Wanu ameeleza hayo wakati wa mkutano wa hadhari katika eneo la Kizimkazi ndani ya Jimbo la Makunduchi Mkoa wa Kusini Unguja

“Nimewasikia watani wetu katika mkutano wako kuwa wao hawana shida na Rais Samia lakini wanashida na mimi, niwatoe hofu kuwa mimi ni mwanafunzi wa Dkt Samia kama watakavyotiki kwake na kwangu wakatiki nikawaonyesha maaana ya uongozi” alisema Wanu ambae ni mtoto wa Rais Samia

Aidha ameeleza wazi juu ya dhamira yake ya kuwatumikia wananchi wa Jimbo la Makunduchi kwa kuendelea kazi kubwa iliyofanywa ya kusigeza huduma za kijamii pamoja na huduma nyenginezo za Maendeleo kwa wananchi hao.

Back
Top Bottom