Wanazingua sanaLabda mwezi ujao utaona changes
wew hayo mabadiliko umeyaona wapi ?Mnataka mseme mwezi huu hamjaona kwamba madeni yenu yamepungua kwa nusu? Mtu ulikuwa unadaiwa milioni 15 zimebaki nane waliodaiwa 4m zimebaki 2m mbona hamumshukuru hata kwa hilo?
Nini kimetokea?Mnataka mseme mwezi huu hamjaona kwamba madeni yenu yamepungua kwa nusu? Mtu ulikuwa unadaiwa milioni 15 zimebaki nane waliodaiwa 4m zimebaki 2m mbona hamumshukuru hata kwa hilo?
Hakuna kitu wengine hali ni ileileMnataka mseme mwezi huu hamjaona kwamba madeni yenu yamepungua kwa nusu?
Mtu ulikuwa unadaiwa milioni 15 zimebaki nane waliodaiwa 4m zimebaki 2m mbona hamumshukuru hata kwa hilo?