Wanufaika wa Bodi ya Mikopo mbona hamumshukuru Rais Suluhu?

Wanufaika wa Bodi ya Mikopo mbona hamumshukuru Rais Suluhu?

Superbug

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2018
Posts
13,864
Reaction score
35,079
Mnataka mseme mwezi huu hamjaona kwamba madeni yenu yamepungua kwa nusu?

Mtu ulikuwa unadaiwa milioni 15 zimebaki nane waliodaiwa 4m zimebaki 2m mbona hamumshukuru hata kwa hilo?
 
Mi sioni changes na hela imekatwa.. iko vilevile sawa na mwezi uliopita. Shida nini!!!??
 
Tushukuru kwakubambikiwa madeni siyo, yaani unadaiwa 700000,unaandikiwa 8700000. Kisha ushukuru!

Hazina kwa mnachotufanyia Mungu anawaona. Yani tuchome nauli kwenda bodi kisa mtandao wenu imecheza! Mtoa post umetumwa wewe.

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Mnataka mseme mwezi huu hamjaona kwamba madeni yenu yamepungua kwa nusu? Mtu ulikuwa unadaiwa milioni 15 zimebaki nane waliodaiwa 4m zimebaki 2m mbona hamumshukuru hata kwa hilo?
wew hayo mabadiliko umeyaona wapi ?
 
Mnataka mseme mwezi huu hamjaona kwamba madeni yenu yamepungua kwa nusu? Mtu ulikuwa unadaiwa milioni 15 zimebaki nane waliodaiwa 4m zimebaki 2m mbona hamumshukuru hata kwa hilo?
Nini kimetokea?
 
Mkuu Inzi wa Lishe, Ooh sorry Lishe inzi, mimi binafsi namshukuru sana Mhe.Rais SSH.

Deni langu lilipunguzwa mwishoni mwa mwezi Januari kutoka Sh.12 millions na ushee hadi Sh.6 millions na ushee. Yaani kutoka Tens of millions to single digit millions!

Nashukuru sana. Sasa kulizuka maneno maneno kuwa eti hali ilisababishwa na kuvurugwa kwa mfumo, so ikabidi nisubiri kujiridhisha mwezi huu, Salary slip ya February imetoka imethibitisha kuwa kilichofanyika kwangu haikuwa kuvurugwa kwa mfumo. Nashukuru mno.
 
Ni sawa na kumpongeza ng'ombe kula majani, wakati hiyo ndio kazi yake.
Kaama kafanya hivyo basi huo ndio ulikua wajibu wake. Pongezi ya nini?
 
Mnataka mseme mwezi huu hamjaona kwamba madeni yenu yamepungua kwa nusu?

Mtu ulikuwa unadaiwa milioni 15 zimebaki nane waliodaiwa 4m zimebaki 2m mbona hamumshukuru hata kwa hilo?
Hakuna kitu wengine hali ni ileile
 
Back
Top Bottom