Raisi WA JF
Member
- Sep 1, 2022
- 25
- 38
Kwahyo tununue ama ni hatari Kwa maishaNimekaa kariakoo mda mrefu na uzoefu hapo ila nikupe faida ndogo.
kariakoo hapo aggrey ndio sehemu kubwa ya kupata simu ulimwenguni kote used,mpya,refubrish na kila kona.
unaposema simu za wizi sawa ila tambua simu hizo zinaingia kwenye mzunguko pale watu wachache wanajifanya ni wafanya biashara kwa jina winga !.
kwa jina kazi kazi au kazi maandazi hiyo.
WakujibambaNdio maana mimi naona bora niagize mwenyewe toka nje
Hivi sheria zetu zaruhusu kufungua Pawn shops?Unazijuwa pawn shop? Jibu swali.
Aggrey Mawinga wengi mno, 95% ni mawinga, na hao ndo wanaumiza watuNimekaa kariakoo mda mrefu na uzoefu hapo ila nikupe faida ndogo.
kariakoo hapo aggrey ndio sehemu kubwa ya kupata simu ulimwenguni kote used,mpya,refubrish na kila kona.
unaposema simu za wizi sawa ila tambua simu hizo zinaingia kwenye mzunguko pale watu wachache wanajifanya ni wafanya biashara kwa jina winga !.
kwa jina kazi kazi au kazi maandazi hiyo.
cjakuelewaNimekaa kariakoo mda mrefu na uzoefu hapo ila nikupe faida ndogo.
kariakoo hapo aggrey ndio sehemu kubwa ya kupata simu ulimwenguni kote used,mpya,refubrish na kila kona.
unaposema simu za wizi sawa ila tambua simu hizo zinaingia kwenye mzunguko pale watu wachache wanajifanya ni wafanya biashara kwa jina winga !.
kwa jina kazi kazi au kazi maandazi hiyo.
Mkuu IMEI unabadili vizuri tu!IMEI number haibadiliki
kesi ndogo sana izo kwa sisi mafundi simu tuna software kibao mpaka za kujua mara ya mwisho simu ilipozimwa ilikuwa nchi gani kuna mdau apa anasema kuwa IMEI azibadiliki nikupe pole sema tu tunafuata sheria now na tunafanya kazi kisheria nje na apo hakuna kinachoshindikana.Tangazo linajitosheleza one mistake one goal mnaambiwa toka Dubai kumbe watu wametumia hapa mjini wamefanyia uhalifu wakaenda kuziuza Kariakoo au wakafanya top up anatoa aliyonayo anaongezea anachukua mzigo mpya.
Naona hilo neno Pown ndilo linakuchanganya, hiyo Poni, ukiandikwa pon, hii ya matatizo.Sijajua wewe uko wapi ila nitajie mifano ya pawn shops tz hii na inahusiana vip na hii mada hapa
Upo Dunia ya wapi hiyo mkuu vijana wanabadili Imei kirahisi tuu mpaka hizo za Apple wanapata mtandaoni Code zake wapo watu ndio kazi zao hizo...Hata ufanyaje mkuu haitoki! Hata ukiflash chooni