Wanunuzi wa Simu Used Kariakoo mnahakikishiwa vipi kuwa zile simu zimetoka Dubai kweli na hazijachanganywa na za wizi?

Nimekaa kariakoo mda mrefu na uzoefu hapo ila nikupe faida ndogo.
kariakoo hapo aggrey ndio sehemu kubwa ya kupata simu ulimwenguni kote used,mpya,refubrish na kila kona.

unaposema simu za wizi sawa ila tambua simu hizo zinaingia kwenye mzunguko pale watu wachache wanajifanya ni wafanya biashara kwa jina winga !.

kwa jina kazi kazi au kazi maandazi hiyo.
Kwahyo tununue ama ni hatari Kwa maisha
 
Ndio maana mimi naona bora niagize mwenyewe toka nje
 
Nimekaa kariakoo mda mrefu na uzoefu hapo ila nikupe faida ndogo.
kariakoo hapo aggrey ndio sehemu kubwa ya kupata simu ulimwenguni kote used,mpya,refubrish na kila kona.

unaposema simu za wizi sawa ila tambua simu hizo zinaingia kwenye mzunguko pale watu wachache wanajifanya ni wafanya biashara kwa jina winga !.

kwa jina kazi kazi au kazi maandazi hiyo.
Aggrey Mawinga wengi mno, 95% ni mawinga, na hao ndo wanaumiza watu
 
si
Nimekaa kariakoo mda mrefu na uzoefu hapo ila nikupe faida ndogo.
kariakoo hapo aggrey ndio sehemu kubwa ya kupata simu ulimwenguni kote used,mpya,refubrish na kila kona.

unaposema simu za wizi sawa ila tambua simu hizo zinaingia kwenye mzunguko pale watu wachache wanajifanya ni wafanya biashara kwa jina winga !.

kwa jina kazi kazi au kazi maandazi hiyo.
cjakuelewa
 
Tangazo linajitosheleza one mistake one goal mnaambiwa toka Dubai kumbe watu wametumia hapa mjini wamefanyia uhalifu wakaenda kuziuza Kariakoo au wakafanya top up anatoa aliyonayo anaongezea anachukua mzigo mpya.
kesi ndogo sana izo kwa sisi mafundi simu tuna software kibao mpaka za kujua mara ya mwisho simu ilipozimwa ilikuwa nchi gani kuna mdau apa anasema kuwa IMEI azibadiliki nikupe pole sema tu tunafuata sheria now na tunafanya kazi kisheria nje na apo hakuna kinachoshindikana.
 
Sijajua wewe uko wapi ila nitajie mifano ya pawn shops tz hii na inahusiana vip na hii mada hapa
Naona hilo neno Pown ndilo linakuchanganya, hiyo Poni, ukiandikwa pon, hii ya matatizo.

Hiyo pown yenye maana Bondi, yenye maana umekwa kipesa, unaamua kuweka bond Simu yako.

Kwa wenzetu kuna watu, wanatambulika kisheria kabisa, wana vibari ya kuendesha biashara ya kushikilia mali za watu waliokwama na kuweka bond mali zao iwe nyumba, pasi, fen, simu, na mali zingine, unapewe pesa Ila unarudisha na liba, Ukishindwa kuleta pesa, kwa wakati anaishikilia ana haki ya kuiuza.
Nadhani mpaka hapo, umepata mwanga wa Pown shps nini.
 
Back
Top Bottom