Raisi WA JF
Member
- Sep 1, 2022
- 25
- 38
Kwahyo tununue ama ni hatari Kwa maishaNimekaa kariakoo mda mrefu na uzoefu hapo ila nikupe faida ndogo.
kariakoo hapo aggrey ndio sehemu kubwa ya kupata simu ulimwenguni kote used,mpya,refubrish na kila kona.
unaposema simu za wizi sawa ila tambua simu hizo zinaingia kwenye mzunguko pale watu wachache wanajifanya ni wafanya biashara kwa jina winga !.
kwa jina kazi kazi au kazi maandazi hiyo.