Wanyakyusa bado wanaweka kabati za vyombo sebuleni na kutandika vitambaa kwenye makochi

Wanyakyusa bado wanaweka kabati za vyombo sebuleni na kutandika vitambaa kwenye makochi

Tatizo liko wapi mbona nyumba nyingi makabati ya vyombo yapo sebureni hii ni nchi zima mwezetu utakuwa umekulia ushuani
 
Bila ushabiki Wanyaki kina Mwaisa ni washamba sana na Wasukuma wamewaacha mbali sana..ila nashangaa tu Banter zinaangushwa kwa wasukuma ila forsure wanyakyusa washamba sana

Kazi kwelikweli/Job TrueTrue
CC Mjanja M1
Kabisa Mkuu wangu.

KaziKweliKweli/JobTrueTrue
 
As long nyumba ni yake na kinamfurahisha, sioni tatizo.
 
Back
Top Bottom