Mr Q
JF-Expert Member
- Aug 16, 2012
- 18,046
- 38,598
Wanyakyusa bado wanaweka...Hapana, mimi sijasema waache. Nimeelezea nilichoona.
Neno bado hapo linatoa ujumbe mmoja tu kwamba ktk nyakati hizi sio sahihi kuweka vyombo kabatini sebuleni.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanyakyusa bado wanaweka...Hapana, mimi sijasema waache. Nimeelezea nilichoona.
Lucas mwashambwa Bado anaishi kwao , na makochi lazima yawe yametandikwa vitambaa vya kushona.Hata ntymbani kwa Lucas Mwashambwa?😆
Sidhani kama utayakuta kwa Sugu au Mwabukusi.
Wengi hatuna diningSiku hizi huwekwa dining au wale wenye majiko makubwa huweka huko.
Hilo umesema wewe mkuuWanyakyusa bado wanaweka...
Neno bado hapo linatoa ujumbe mmoja tu kwamba ktk nyakati hizi sio sahihi kuweka vyombo kabatini sebuleni.
Umeolewa huko? Safi sana. Mengine yapi uliyoyagundua.Hapa Mbeya Mjini nimejionea nyumba kadhaa nilizotembelea hali ni hiyo pamoja na kutandika vitambaa kwenye makochi.
Kwani ulichobadilika nini ufipa mbona nyinyi ofisi hamjengi ghorofa bado mpo kwenye lile banda la kuku!Huu utamaduni bado upo kweli?
Nyau weweUmeolewa huko? Safi sana. Mengine yapi uliyoyagundua.
Hajakataa vyombo kuwekwa kabatini, bali kabati lenye vyombo kukaa sebuleniVyombo huwekwa wapi
Nauliza kwa niaba ya wanyakyusa wenzangu
Dah kudadeki. Ndio maana watu ukarimu wa kukaribishana majumbani siku hizi unakufa. Full kuchunguzanaHapa Mbeya Mjini nimejionea nyumba kadhaa nilizotembelea hali ni hiyo pamoja na kutandika vitambaa kwenye makochi.
Kwa Lucas mwashambwa kabati la vyombo liko sebuleni halafu ni lile lina sehem ya kuweka Tv katikatiLucas mwashambwa Bado anaishi kwao , na makochi lazima yawe yametandikwa vitambaa vya kushona.
Natania lakini😀
Kwani uliko toka mnafanyaje? Kupamba nyumba ni sanaa, ubunifu unao athiriwa na utamaduni wa jamii husika.Hapa Mbeya Mjini nimejionea nyumba kadhaa nilizotembelea hali ni hiyo pamoja na kutandika vitambaa kwenye makochi.
Haya mawazo yakike, nenda kavae khangaPunguza umbea,utasutwa.
Sasa Mwanaume kweli unapita kwenye nyumba za watu, unakagua nyumba ndani ikoje, halafu unakuja kuandika humu, huo ni UKIMBEMBEHaya mawazo yakike, nenda kavae khanga