Gulio Tanzania JF-Expert Member Joined Jan 30, 2018 Posts 3,325 Reaction score 7,807 Dec 26, 2023 #41 Tatizo liko wapi mbona nyumba nyingi makabati ya vyombo yapo sebureni hii ni nchi zima mwezetu utakuwa umekulia ushuani
Tatizo liko wapi mbona nyumba nyingi makabati ya vyombo yapo sebureni hii ni nchi zima mwezetu utakuwa umekulia ushuani
Mjanja M1 JF-Expert Member Joined Oct 7, 2018 Posts 4,058 Reaction score 14,382 Dec 26, 2023 #42 KENGE 01 said: Bila ushabiki Wanyaki kina Mwaisa ni washamba sana na Wasukuma wamewaacha mbali sana..ila nashangaa tu Banter zinaangushwa kwa wasukuma ila forsure wanyakyusa washamba sana Kazi kwelikweli/Job TrueTrue CC Mjanja M1 Click to expand... Kabisa Mkuu wangu. KaziKweliKweli/JobTrueTrue
KENGE 01 said: Bila ushabiki Wanyaki kina Mwaisa ni washamba sana na Wasukuma wamewaacha mbali sana..ila nashangaa tu Banter zinaangushwa kwa wasukuma ila forsure wanyakyusa washamba sana Kazi kwelikweli/Job TrueTrue CC Mjanja M1 Click to expand... Kabisa Mkuu wangu. KaziKweliKweli/JobTrueTrue
Atoto JF-Expert Member Joined Jul 19, 2013 Posts 86,410 Reaction score 169,862 Dec 27, 2023 #43 As long nyumba ni yake na kinamfurahisha, sioni tatizo.
Tresor Mandala JF-Expert Member Joined Aug 20, 2010 Posts 40,905 Reaction score 86,203 Dec 27, 2023 #44 Ina maana hili kabila ni washamba sana nn ? Maana wanataniwa sana