Wanyakyusa punguzeni uchawi kwa wageni tuje kuwekeza mbeya

Status
Not open for further replies.
Watani zangu wanyakyusa tulieni ndo dawa inaingia taratibu leo mmepatikana huyu BLESSINGS ni fyatu kupita maelezo atawachambua mpaka mjione choo
 
Mchukulieni huyu blessings kama mtu wa utani jamani. mkikasirika humu mtapasuka bure tu
 

Pole sana, umeandika huku ukiwa na uchungu na hasira isiyomithirika. Walimwengu ndivyo tulivyo tunanyoosheana kidole wakati vingine vikiturudia wenyewe.
 
Si kina Nicholas huwa wanajitapa huko kwenu kwa maana sana? kwanini msiende fanyia biashara kwenu?
Ndio umeniita kuja thibitisha kwanini pressionair waliona hakuna maana?Hata bima hawajui umuhimu wake?
 
Last edited by a moderator:
Ndio umeniita kuja thibitisha kwanini pressionair waliona hakuna maana?Hata bima hawajui umuhimu wake?


Wapo wenye hadhi ya kutupa huduma ya bima sio hao..

Kwenu mbona hampeleki hizo huduma?
 
Ungeongezea pia hawataki wachaga..du km kiarabu..Ni wazi sasa kiarabu kimekuwa ni lugha ya wachawi bongo...kule AR napo jamaa wa TRA chatu wake kauwawa...kitambaa kimeandikwa maandishi km minyoo imemwagwa juu ya kitambaa.Maandisho ya lugha Ritz hawezi pumua bila yenyewe. Sasa hawa jamaa wanati aiabu ,hawajuia umuhimu wa bima?au bima yao imewekwa ktk giza....?
 
Wapo wenye hadhi ya kutupa huduma ya bima sio hao.. Kwenu mbona hampeleki hizo huduma?
Haha....bima nayo ina wenye Hadhi...?Bima ni za serikali wengine ni mawakala tuu kima wewe....utakuwa umeapauka km wenzio mafuta yanadunda.....Mlidhani Bima inapigwa mali kauri?ndio maana mmemind mshikaji.Nyie kwa mizinga..na masifa ktk starehe hamjambo.Wenzenu KIL wapo mbali.....hizo bima hadi wamkwenda kwa watu wa vichakani....sasa msaidiwe vipi nyie....hata mkipewa office sifa ktk starehe huwa zinawamaliza mkufa ngoma mkiwa mmepauka km chungu.iliyoganda majivu.mkiletwa watu kuwafundisha mnawafanyia huo ujinga..mnawachuna ngozi...mnawapiga nondo...bado saana alluuuuuu nyie.
 


Laanakum...

Mtoto wa haramu
 
Laanakum... Mtoto wa haramu
Wewe ndio mwandishi kile kitambaa cha kiarabu kilichofungwa yule Chatu wa jamaa wa TRA Arusha na huko mbeya nini?naona unashuka lugha ambayo hata ukimwaga minyoo, spagheti, mizizi ya miti, nyoka lazima waone neno la lugha yao....kila siku lazima waone mirako ktk kila kitu kinachofanana na minyoo....au mizizi.
 

Watu wa Mbeya tuliambiwa wachaga ni wabuguzi ona sasa matusi hayo na ngoja muipigie CHADEMA kura maana wao wanajiona wako juu ya makabila mengine mtakoma!Mimi nimeisha watoa maana washenzi tu,mnajifanya watu wa kufundisha sijui kufundisha kitu gani? nimekaa kwenu miaka mitano sijaona huo uwalimu mlionao zaidi ya wizi tu.
 

Kwanini mnahangaika naye huyu jamaa?. Hata ofisi hakufungua......yeye ALIJARIBU tu..........ila hakufungua. Watu wa biashara na uwezekaji wanaweza kutusaidia hapa: Huyu jamaa ni mgeni mbeya, yeye sio kampuni (network), ila ghafla anataka kujaribu kufungua ofisi sehemu nne tofauti..., hamuoni kuwa ana shida huyu , hana elimu ya uwezekaji nahisi hata ya mambo ya Bima. Ndio wale wale badala ya kufanya tathmini ya kisayansi ...anakimbilia majibu mepesi NIMELOGWA. Makampuni 90% ya Bima Mbeya yanaendeshwa na watu ambao hata sio wenyeji wa Mkoa wa Mbeya
 

Umeamua kujipaisha uonekane umo. Ubongo wako hauna uwezo wa kibiashara. Business strategies hakuna kichwani mwako. Mbeya wachaga wamejaa na hawana mpango wa kuondoka. Wapemba wamejazana mbeya, wasukuma wamezifanya wilaya za mbalali na chunya kuwa zao na wala hawabugudhiwi na wenyeji. Mashirika ya bima mbeya yako mengi na inaonyesha ulipoingia kama ni kweli ulifanya hivyo hukutambua kuwa biashara yoyote ina washindani. Ulijiona wewe TANESCO.

Lakini nafikiri wewe ni mmoja wa yale makabila yanayoendekeza ngoma za baikoko na kigodoro. Mbeya hakuna mdundiko mkuu ulikuwa na nafasi ya kufanya vizuri kama akili ingekuwa timamu. Biashara ya bima si ya kukaa ofisini unakaa kwenye kiti cha kuzunguka huku ukicheza game kwenye PC. Inahitaji kujituma.

MCHAWI ANAWAJUA WACHAWI WENZIE.
 
Huwezi kusema Messi anajua mpira kama wewe mwenyewe huujui mpira, Pole sana kwa kuzidiwa nguvu

“Reasoning” ya hivi ngoja mimi ni – “ log off” kabisa kwa leo!
 
To be honest it seems you are running out of idea,do not blame people for your own failures, work hard you will leap what you are your 're working and God blessing.
 
To be honest it seems you are running out of idea,do not blame people for your own failures, work hard you will leap what you are your 're working and God blessing.

biashara yenyewe alikuwa anajaribu
 
mtoa mada mm nmekaa na kusoma mbeya naujuaa huo mkoa vizuri mbona sijawahi ona mambo hayo ya ulozi....mbeya nakumbuka kulikuwa na wanyakyusa, wakinga, wasafwa etc.....kwangu mm mbeya ndiyo mkoa mojawapo ambao sitokuja kusahau maishani mwangu kwani nilijifunza mambo mengi sanaaaa.. blessings
 
Last edited by a moderator:
Je wale matajiri wa mbeya wafuga majoka wapo Vamponji,kasisi mbeya balaa
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…