Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi nampinga kwasababu anatukana Wanyakyusa na kutudharau sababu ya imani zake za kichawi,ana maneno ya maudhi sana kwanza anaongea bila tafiti,pili anataka kulazimisha watu waamini uchawi kama yeye anavyo amini! ningeweza kukaa kimya kama angesema mbeya wachawi nisinge jali maana ni ujinga wake ana amini hivyo lakini kusema watu wa mbeya wa hovyo sana kwakweli hapo hajatutendea haki kabisa na hii thread hajaanzia huku ipo hata kwenye jukwaa la biashara ametukana sana,so ulitaka nikae kimya? hivi Tz tukianza kutukana hivyo huoni hiyo ni mbegu mbaya sana ya chuki? mfano wewe mtu akikomaa humu jamii forum kwamba watu wa kwenu wa hovyo sana ana attack kabila unaona hicho kitu kiko sawa kweli?
so mimi kinacho niudhi ni hicho tu,kwamba watu wa mbeya wa hovyo tu! Watanzania tumeanza kuwa hivyo siku hizi!hiyo hoja yako ya kudhuriwa watu wa aina flani hivi wewe na akili zako timamu unamini maneno ya kijinga hivyo? ingekuwa kweli kwa matusi yote haya aliyotukana kwani watu wa mbeya hao mnaowadharau maana sijui nyie ni wa mkoa gani ambao bora sana,si wangemloga tu siyo? maana amewatukana! hapo huwezi kweli kufikili tu ukaona huo ni upumbavu tu wakutaka kutakana watu? au JF Imegueka kijiwe cha wendawazimu na mabingwa kutukana watu hapa.
Mambo ya maana tumeacha kujadili tumeanza kuoneshana ubora wa makabila wakati wageni wanachukua mali asili yetu yote!ukiwadaharu watu wa mbeya yeye anatoka wapi ambao wao ni watanzania wa maana sana kuliko wale mbeya? mimi nilidhani sisi wote ni watanzania tuko sawa kumbe wengine wanajiona ni bora sana kuliko wengine!binafsi siwezi mdharau mtu sababu ya kabila,dini,rangi wala mkoa anaotoka hata siku moja,nimekua na watanzania wenzangu tumesoma wote mpaka elimu ya juu kabisa na wala sijawahi jiona mimi kabila langu ni bora zaidi kuliko wengine maana huo ni ujinga wa hali juu kabisa.Wenzetu Wanyarwanda wanajenga umoja wanakataa ujinga huu sisi mijitu inapalilia ukabila,umkoa,ukanda as if hatukuona madhara waliyopata.
Ndio umeniita kuja thibitisha kwanini pressionair waliona hakuna maana?Hata bima hawajui umuhimu wake?
Ungeongezea pia hawataki wachaga..du km kiarabu..Ni wazi sasa kiarabu kimekuwa ni lugha ya wachawi bongo...kule AR napo jamaa wa TRA chatu wake kauwawa...kitambaa kimeandikwa maandishi km minyoo imemwagwa juu ya kitambaa.Maandisho ya lugha Ritz hawezi pumua bila yenyewe. Sasa hawa jamaa wanati aiabu ,hawajuia umuhimu wa bima?au bima yao imewekwa ktk giza....?Nilijaribu kufungua ofisi ya bima mbeya (Mwanjelwa, Stendi kuu, Mbeya & baadae Tunduma) lakini hawa jamaa(wanyakyusa) hawapend kuona mtu wa mbali (ukitoa Sumbawanga, Songea & Iringa=Wachawi wenzao) amefanikiwa hapo Mbeya. Maana kila siku asubuhi mfanyakaz anakuta hiriz na maneno ya kiarabu. Mpaka sasa nimefunga ofs ya Mwanjelwa & Stendi kuu na ya Tunduma naangalia upepo. WANYAKYUSA punguzen ULOZI mtakufa macho wazi
Haha....bima nayo ina wenye Hadhi...?Bima ni za serikali wengine ni mawakala tuu kima wewe....utakuwa umeapauka km wenzio mafuta yanadunda.....Mlidhani Bima inapigwa mali kauri?ndio maana mmemind mshikaji.Nyie kwa mizinga..na masifa ktk starehe hamjambo.Wenzenu KIL wapo mbali.....hizo bima hadi wamkwenda kwa watu wa vichakani....sasa msaidiwe vipi nyie....hata mkipewa office sifa ktk starehe huwa zinawamaliza mkufa ngoma mkiwa mmepauka km chungu.iliyoganda majivu.mkiletwa watu kuwafundisha mnawafanyia huo ujinga..mnawachuna ngozi...mnawapiga nondo...bado saana alluuuuuu nyie.Wapo wenye hadhi ya kutupa huduma ya bima sio hao.. Kwenu mbona hampeleki hizo huduma?
Haha....bima nayo ina wenye Hadhi...?Bima ni za serikali wengine ni mawakala tuu kima wewe....utakuwa umeapauka km wenzio mafuta yanadunda.....Mlidhani Bima inapigwa mali kauri?ndio maana mmemind mshikaji.Nyie kwa mizinga..na masifa ktk starehe hamjambo.Wenzenu KIL wapo mbali.....hizo bima hadi wamkwenda kwa watu wa vichakani....sasa msaidiwe vipi nyie....hata mkipewa office sifa ktk starehe huwa zinawamaliza mkufa ngoma mkiwa mmepauka km chungu.iliyoganda majivu.mkiletwa watu kuwafundisha mnawafanyia huo ujinga..mnawachuna ngozi...mnawapiga nondo...bado saana alluuuuuu nyie.
Wewe ndio mwandishi kile kitambaa cha kiarabu kilichofungwa yule Chatu wa jamaa wa TRA Arusha na huko mbeya nini?naona unashuka lugha ambayo hata ukimwaga minyoo, spagheti, mizizi ya miti, nyoka lazima waone neno la lugha yao....kila siku lazima waone mirako ktk kila kitu kinachofanana na minyoo....au mizizi.Laanakum... Mtoto wa haramu
Haha....bima nayo ina wenye Hadhi...?Bima ni za serikali wengine ni mawakala tuu kima wewe....utakuwa umeapauka km wenzio mafuta yanadunda.....Mlidhani Bima inapigwa mali kauri?ndio maana mmemind mshikaji.Nyie kwa mizinga..na masifa ktk starehe hamjambo.Wenzenu KIL wapo mbali.....hizo bima hadi wamkwenda kwa watu wa vichakani....sasa msaidiwe vipi nyie....hata mkipewa office sifa ktk starehe huwa zinawamaliza mkufa ngoma mkiwa mmepauka km chungu.iliyoganda majivu.mkiletwa watu kuwafundisha mnawafanyia huo ujinga..mnawachuna ngozi...mnawapiga nondo...bado saana alluuuuuu nyie.
Nilijaribu kufungua ofisi ya bima mbeya (Mwanjelwa, Stendi kuu, Mbeya & baadae Tunduma) lakini hawa jamaa(wanyakyusa) hawapend kuona mtu wa mbali (ukitoa Sumbawanga, Songea & Iringa=Wachawi wenzao) amefanikiwa hapo Mbeya. Maana kila siku asubuhi mfanyakaz anakuta hiriz na maneno ya kiarabu. Mpaka sasa nimefunga ofs ya Mwanjelwa & Stendi kuu na ya Tunduma naangalia upepo. WANYAKYUSA punguzen ULOZI mtakufa macho wazi

Huwezi kusema Messi anajua mpira kama wewe mwenyewe huujui mpira, Pole sana kwa kuzidiwa nguvu
To be honest it seems you are running out of idea,do not blame people for your own failures, work hard you will leap what you are your 're working and God blessing.