WACHAWI sugu huku Mbeya ni WANYIHA,WANYAMWANGA,na WANYAKYUSA.Wakati Wanyakyusa wanaroga watu wananaoonyesha mafanikio katika maisha kama vile wafanyabiashara,wafanyakazi serikalini na kwenye makampuni na taasisi mbalimbali,wasomi na wanafunzi(hasa wa sekondari na vyuo),Wanyamwanga na Wanyiha wao wanaloga watu wanaozaa watoto wenye sura nzuri,wanaokula nyama mara kwa mara(wao nyama wanayokula sana ni ya panya na tumbili au nyani),wanaovaa vizuri na mambo mengine kama hayo.Ila makabila yote hayataki TOHARA.