Majigo
JF-Expert Member
- Feb 23, 2012
- 5,519
- 1,828
Actually uchawi unauzwa kama bidhaa za dukani maeneo ya Songea na Kyela (pembezon mwa ziwa nyasa) kuna uchawi wa mamba=ukitaka mtu auliwe na mamba unaenda na 1,000 (elfu moja tu) huyo mtu ataokotwa ziwani akiwa ameuliwa na mamba
stori za vijiweni masituletee public
mi ni mzawa wa hapo, hicho kitu hakipo hata kidogo