britanicca
JF-Expert Member
- May 20, 2015
- 16,295
- 33,994
- Thread starter
- #221
KabisaTunaichukulia hii issue kisiasa ila ukweli ni kwamba Kagame si mtu mzuri kwetu hata kidogo. Kizazi chetu kitakuja kutulaumu mno
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
KabisaTunaichukulia hii issue kisiasa ila ukweli ni kwamba Kagame si mtu mzuri kwetu hata kidogo. Kizazi chetu kitakuja kutulaumu mno
.....ungejua unaemwamini ndio tatizo lenyewe wala usingeandika
Ukienda rwanda jimbo la Gitarama kuna watanzania wengi ukiangalia kwa kina siyo watanzania, ila ni wale wakimbizi wa zamani waliokimbilia hapa Tanzania mwaka 1970, 1977,1994 na miaka ya karibuni,
Hapa utakutana na mzee mnonezi, mzee micheli, Ndailos, na Mzee Aganyila, hawa ni watu maarufu wanaoratibu shughuli mbali mbali pamoja na
1.Kuhakikisha wanapata uwakilishi katika ngazi mbali mbali katika nchi ya Tanzania, sekta mbali mbali,
2. Uhakika wa kupata pa kuhifadhi wakimbizi wapya wanaokuja kinyemela ndani ya misitu ya kimisi, Runzewe na biharamulo kasindaga,
3. Kuhakikisha wanaratibu wanyarwanda wote wanaoishi Tanzania kunyonya iwezekanavyo na kutuma hela nyumbani,
4.Kuyatatua matatizo yaliyowapata wenzao sehem mbali mbali Tanzania,
Majimbo ambayo wamefanikiwa kuyakamata mpaka sasa hivi
1.Wilaya nzima ya Muleba, lile ni koloni rasmi la wanyarwanda, kuanzia Mubunda, Bihija, Ngote, Kanyeranyere mpaka ziwa Burigi,
2. Wilaya ya karagwe , mabila, nkwenda, kishao na kaisho,
3.Biharamulo yote
4. Geita hapa wapo wengi mpaka wanazungumza kisukuma na wameshakuwa na ngazi serikalini
5.kigoma baadhi ya maeneo
Sekta ambazo mpaka sasa wamekalia
1.askari polisi na magereza wamepata mpaka ukuu wa magereza yaan bwana jera
2. TRA
3.uhamiaji
4. TCRA
5. Bungeni pia
Lakini kaa mkijua mpango wenu wa kuhakikisha jamaa fulani anakuwa rais hatutakubali sisi kama.watanzania wema , hatutakubali kupangiwa rais na Rwanda kisa kulinda maslahi yenu ya ukanda huu hapa tumekataa sana
Wale vijana watatu wanaotaka kusajiliwa sekta nyeti tumeshapata taarifa na kuwanyima.vibali vya kuwa nchini
BIG UP MZEE MAGUFULI
Ila punguza urafiki na Kagame
NaamBongo bwana kila mtu ni wa system
Africa is One!
Africa must unite!
Kama siyo mipaka ya Kikoloni hii mada isingekuwepo.
Binafsi sipingi mabadiliko ya katiba kwenda huko ambako baadhi ya wengi wanapasema, shida yangu ni moja tu. Je, hata tukipata katiba mpya tunao watu wa kuisimamia? Tunao watu wa kuhoji watakao ivunja?Tutengeneze katiba imara ambayo hasta mzungu akishika Dola hawezi haribu!akizingua TU snipers wanafanya kazi iliyotukuka!!
Lakini Kwa Katiba iliyopo akishika mgeni anaweza badili hats jina la nchi na kuwa jamhuri.ya sokomoni!!
Katiba katiba katiba!
Tunapoelekea nchi inahitaji watu smart sio makabila na uzawa na ugeni mnaouzungumza humu jamvini!!
Kama babu alizaliwa huko Uganda,Burundi,Rwanda n.k akaja kuchunga mang'ombe Tz akazaaa na mjita,mrangi,msukuma,mchaga na watoto wakawa smart shuleni na akili za kimaendeleo utawanyimaje uongozi!!?kisa asili Yao sio wazawa!!?
Tuwe kama america hata niingie mimi sibadili malengo take na maono.yake Bali nafanyia kazi maandiko ya nchi!!
KATIBA IMARA YENYE UWEZO WA KUMFUNGA SPEED GAVANA RAIS ITASAIDIA SANA ASIHARIBU!TUACHE HII KITU YA ASILI YA MTU ,JAPO MIMI NI MTANZANIA PURE FROM PATRILINEAL POINT OF VIEW!!
SanaBinafsi sipingi mabadiliko ya katiba kwenda huko ambako baadhi ya wengi wanapasema, shida yangu ni moja tu. Je, hata tukipata katiba mpya tunao watu wa kuisimamia? Tunao watu wa kuhoji watakao ivunja?
Hapo huwa navurugwa kati ya nini muhimu kuanza kati ya kutengeneza watu au kutengeneza katiba?
Binafsi naamini tukitengeneza watu jasiri, wenye nguvu ya kudai haki wanapoonewa, wenye ujasiri wa kuhoji viongozi wao ndio mwanzo wa kuandaa katiba mpya
Siamini kama tusipowapata hao watu kwanza tutakuwa katika nafasi nzuri ya kutengeneza katiba nzuri.
Maandishi ya katiba pekee hayatabadili chochote kama hatutakuwa na watu jasiri kwanza
Nimeukumbuka msitu wa Lunzewe.Ukienda rwanda jimbo la Gitarama kuna watanzania wengi ukiangalia kwa kina siyo watanzania, ila ni wale wakimbizi wa zamani waliokimbilia hapa Tanzania mwaka 1970, 1977,1994 na miaka ya karibuni,
Hapa utakutana na mzee mnonezi, mzee micheli, Ndailos, na Mzee Aganyila, hawa ni watu maarufu wanaoratibu shughuli mbali mbali pamoja na
1.Kuhakikisha wanapata uwakilishi katika ngazi mbali mbali katika nchi ya Tanzania, sekta mbali mbali,
2. Uhakika wa kupata pa kuhifadhi wakimbizi wapya wanaokuja kinyemela ndani ya misitu ya kimisi, Runzewe na biharamulo kasindaga,
3. Kuhakikisha wanaratibu wanyarwanda wote wanaoishi Tanzania kunyonya iwezekanavyo na kutuma hela nyumbani,
4.Kuyatatua matatizo yaliyowapata wenzao sehem mbali mbali Tanzania,
Majimbo ambayo wamefanikiwa kuyakamata mpaka sasa hivi
1.Wilaya nzima ya Muleba, lile ni koloni rasmi la wanyarwanda, kuanzia Mubunda, Bihija, Ngote, Kanyeranyere mpaka ziwa Burigi,
2. Wilaya ya karagwe , mabila, nkwenda, kishao na kaisho,
3.Biharamulo yote
4. Geita hapa wapo wengi mpaka wanazungumza kisukuma na wameshakuwa na ngazi serikalini
5.kigoma baadhi ya maeneo
Sekta ambazo mpaka sasa wamekalia
1.askari polisi na magereza wamepata mpaka ukuu wa magereza yaan bwana jera
2. TRA
3.uhamiaji
4. TCRA
5. Bungeni pia
Lakini kaa mkijua mpango wenu wa kuhakikisha jamaa fulani anakuwa rais hatutakubali sisi kama.watanzania wema , hatutakubali kupangiwa rais na Rwanda kisa kulinda maslahi yenu ya ukanda huu hapa tumekataa sana
Wale vijana watatu wanaotaka kusajiliwa sekta nyeti tumeshapata taarifa na kuwanyima.vibali vya kuwa nchini
BIG UP MZEE MAGUFULI
Ila punguza urafiki na Kagame
Kagame na CCM kipi KILICHO khatar kwa taifaTunaichukulia hii issue kisiasa ila ukweli ni kwamba Kagame si mtu mzuri kwetu hata kidogo. Kizazi chetu kitakuja kutulaumu mno
Waulize wacongo waliwakaribisha leo hii wanataka kuwatawalaUkisema wanajipenyeza kupata power kama watu wengine wanazuiwa haileti maana. Wote tuna nafasi sawa. Mtu akilala usimuamshe...ila haya maandishi ya namna hii yanaleta chuki na kuwaga watu. Kama hakuna ukweli anayeyasambaza anastahili kuwajibika
Sent from my SM-J700F using JamiiForums mobile app
Kazi ya kuendesha nchi sio rahisi, kueneza xenophobia hiyo ni ishara ya kukosa maarifa.Waulize wacongo waliwakaribisha leo hii wanataka kuwatawala
Just because ni majirani haimaanishi tufungue geti wamiminike weee bila brake. Unlike tanzania , rwanda ni ndogo na haina too much resources, so moja ya malengo ya kiongoz wao ni kutafuta resources karibu kuijenga nchi yao, jibu Congo . Next TZ.. hawa watu wamejipenyeza sana wakiwa na lengo moja tu.Kazi ya kuendesha nchi sio rahisi, kueneza xenophobia hiyo ni ishara ya kukosa maarifa.
Wanyarwanda ni ndugu zetu na kuna maeneo ndani ya Tanzania kilugha chao ni kinyarwanda na hawa wana haki na Tanzania kama walivyo wazaramo wa pwani.
Ulinzi wa nchi ni mikakati.