Wanyarwanda wenye influence na siasa za Tanzania hapa panawahusu

Ukienda rwanda jimbo la Gitarama kuna watanzania wengi ukiangalia kwa kina siyo watanzania, ila ni wale wakimbizi wa zamani waliokimbilia hapa Tanzania mwaka 1970, 1977,1994 na miaka ya karibuni,

Hapa utakutana na mzee mnonezi, mzee micheli, Ndailos, na Mzee Aganyila, hawa ni watu maarufu wanaoratibu shughuli mbali mbali pamoja na

1.Kuhakikisha wanapata uwakilishi katika ngazi mbali mbali katika nchi ya Tanzania, sekta mbali mbali,

2. Uhakika wa kupata pa kuhifadhi wakimbizi wapya wanaokuja kinyemela ndani ya misitu ya kimisi, Runzewe na biharamulo kasindaga,

3. Kuhakikisha wanaratibu wanyarwanda wote wanaoishi Tanzania kunyonya iwezekanavyo na kutuma hela nyumbani,

4.Kuyatatua matatizo yaliyowapata wenzao sehem mbali mbali Tanzania,

Majimbo ambayo wamefanikiwa kuyakamata mpaka sasa hivi
1.Wilaya nzima ya Muleba, lile ni koloni rasmi la wanyarwanda, kuanzia Mubunda, Bihija, Ngote, Kanyeranyere mpaka ziwa Burigi,

2. Wilaya ya karagwe , mabila, nkwenda, kishao na kaisho,

3.Biharamulo yote

4. Geita hapa wapo wengi mpaka wanazungumza kisukuma na wameshakuwa na ngazi serikalini

5.kigoma baadhi ya maeneo

Sekta ambazo mpaka sasa wamekalia
1.askari polisi na magereza wamepata mpaka ukuu wa magereza yaan bwana jera

2. TRA
3.uhamiaji
4. TCRA
5. Bungeni pia

Lakini kaa mkijua mpango wenu wa kuhakikisha jamaa fulani anakuwa rais hatutakubali sisi kama.watanzania wema , hatutakubali kupangiwa rais na Rwanda kisa kulinda maslahi yenu ya ukanda huu hapa tumekataa sana

Wale vijana watatu wanaotaka kusajiliwa sekta nyeti tumeshapata taarifa na kuwanyima.vibali vya kuwa nchini

BIG UP MZEE MAGUFULI

Ila punguza urafiki na Kagame
Hivi unasahau kuwa kuna watusi wa tanzania kama ilivyo wabaganda, wamasai, wadigo n.k???
 
Watanzania wabashangaza Sana kila jambo tunalalamika , kunashida gani Mwafrika mwe zako kufanya kazi hapa, mbona Warabu hawasemwe na wanamiliki uchumi mkubwa, kila kukicha Watanzania watawasena Wakenya, Wanyarwanda ni aibu jirekeneshe hakuna mwenye Tanzania hii ni Afrika
 
Mkuu, hao majamaa wamejaa hapa JF, Na kuprove hilo nakumbuka kuna wakati tulikuwa tunajadili twitter account ya Rais wao, baada ya ule mjadala, mara moja kuna contents kule ziliondolewa, hii ni kipindi kile cha ule mvutano na nchi jirani.
 
Naona kanda ya ziwa imekuwa ikichukiwa bila sababu kwa mda mrefu sasa hasa makabila yake. Hivi kuwa Mhaya, Mzinza au Mnyambo ni kosa?.
Kuna Wayao, wachaga na Wanyakyusa wote wapo mipakani lakini hakuna chuki dhidi yao kama kwa makabila ya Kanda ya ziwa na Kigoma.
Inabidi mbadilike na mitazamo hasi iliyoota mizizi.
Kigoma ndo inanyanyaswa balaa....wazee wa Teleza
 
rwakabamba-waziri wa elimu
Prof. Silas Lwakabamba ni Mnyarwanda mwenye 'asili' ya Tanzania.

Nafikiri kuna tofauti kubwa kati ya mtanzania na mtu mwenye asili ya Tanzania.
 
Ukienda rwanda jimbo la Gitarama kuna watanzania wengi ukiangalia kwa kina siyo watanzania, ila ni wale wakimbizi wa zamani waliokimbilia hapa Tanzania mwaka 1970, 1977,1994 na miaka ya karibuni,

Hapa utakutana na mzee mnonezi, mzee micheli, Ndailos, na Mzee Aganyila, hawa ni watu maarufu wanaoratibu shughuli mbali mbali pamoja na

1.Kuhakikisha wanapata uwakilishi katika ngazi mbali mbali katika nchi ya Tanzania, sekta mbali mbali,

2. Uhakika wa kupata pa kuhifadhi wakimbizi wapya wanaokuja kinyemela ndani ya misitu ya kimisi, Runzewe na biharamulo kasindaga,

3. Kuhakikisha wanaratibu wanyarwanda wote wanaoishi Tanzania kunyonya iwezekanavyo na kutuma hela nyumbani,

4.Kuyatatua matatizo yaliyowapata wenzao sehem mbali mbali Tanzania,

Majimbo ambayo wamefanikiwa kuyakamata mpaka sasa hivi
1.Wilaya nzima ya Muleba, lile ni koloni rasmi la wanyarwanda, kuanzia Mubunda, Bihija, Ngote, Kanyeranyere mpaka ziwa Burigi,

2. Wilaya ya karagwe , mabila, nkwenda, kishao na kaisho,

3.Biharamulo yote

4. Geita hapa wapo wengi mpaka wanazungumza kisukuma na wameshakuwa na ngazi serikalini

5.kigoma baadhi ya maeneo

Sekta ambazo mpaka sasa wamekalia
1.askari polisi na magereza wamepata mpaka ukuu wa magereza yaan bwana jera

2. TRA
3.uhamiaji
4. TCRA
5. Bungeni pia

Lakini kaa mkijua mpango wenu wa kuhakikisha jamaa fulani anakuwa rais hatutakubali sisi kama.watanzania wema , hatutakubali kupangiwa rais na Rwanda kisa kulinda maslahi yenu ya ukanda huu hapa tumekataa sana

Wale vijana watatu wanaotaka kusajiliwa sekta nyeti tumeshapata taarifa na kuwanyima.vibali vya kuwa nchini

BIG UP MZEE MAGUFULI

Ila punguza urafiki na Kagame
Wanyarwanda ni watu wakatili sana. Wanaogopesha
 
Prof. Silas Lwakabamba ni Mnyarwanda mwenye 'asili' ya Tanzania.

Nafikiri kuna tofauti kubwa kati ya mtanzania na mtu mwenye asili ya Tanzania.
Huyo si alikuwa Mwalimu pale Faculty of Engineering miaka ya zamani?
 
usalama wa taifa wanapambana na vyama vya upinzani, kazi ambayo hata haipo kwenye JD yao
 
Mkuu, hao majamaa wamejaa hapa JF, Na kuprove hilo nakumbuka kuna wakati tulikuwa tunajadili twitter account ya Rais wao, baada ya ule mjadala, mara moja kuna contents kule ziliondolewa, hii ni kipindi kile cha ule mvutano na nchi jirani.
Hawatuwezi
 
Sio chuki, mipaka mingine yote imekata makabila pande zote hivyo huwezi sikia Mganda akilalamikiwa kujifanya Mhaya, au Mmasai wa Kenya na Tanzania, Mjaluo wa Kenya na Tanzania, Mmakonde wa Msumbiji na Tanzania, Mnyasa wa Malawi na Tanzania, wote hawa hawana matatizo kabisa.

Lakini kwa upande wa Banyamulenge kuna tatizo, wanajipenyeza kwa makusudi kwenye positions of power ili kuitawala kwa kujifanya Watanzania katika juhudi za kuirudisha ile Bahima Kingdom kisirisiri kupitia mlango wa nyuma. Kagame, Museveni, Kabila, na...wote ni wale wale!.

Paskali
Maskini!Umenikumbusha Mchungaji CM
 
Watanzania wabashangaza Sana kila jambo tunalalamika , kunashida gani Mwafrika mwe zako kufanya kazi hapa, mbona Warabu hawasemwe na wanamiliki uchumi mkubwa, kila kukicha Watanzania watawasena Wakenya, Wanyarwanda ni aibu jirekeneshe hakuna mwenye Tanzania hii ni Afrika
Wengi hawafahamu kuwa enzi za utawala wa wajerumani, Rwanda na Burundi zilikuwa sehemu ya Tanganyika.
 
Back
Top Bottom