Kamukhm
JF-Expert Member
- Aug 30, 2015
- 2,801
- 4,212
Unajua watu wana kale kaentitlement ...wanadhani kuwa rais ndio lengo... Ile sio sifa ... Heshima ni kulitunza taifa na misingi yake kwa miaka mingi... Kule kwetu kutokana na muingiliano.. Ni kazi sana kuprove authenticity ya watu wake na mbaya zaidi hakipo kifaa cha kupima loyalty ya MTU... Na tabia ya kuwa sleepers imedumu Kule kwa karne nyingi mno..Asilimia kubwa tukichambuliwa mkoa Huu wengi ni wahamiaji tokea Rwanda ndo maana Nyerere alituzinga tusijepata rais pande Hii coz hima empire itakuwa rasmi imefufuliwa
Kama tunapenda ustawi Wa taifa letu basi inabidi tuwekeze kwenye kuwaandaa watoto kizalendo na kuilinda mipaka..na hili lifanywe na general population.. Wawe wa kwanza kuibua wahamiaji haramu kwa upendo.. Na kimfumo tuwatambue wapo wapi na wanafanya nini... Labda generation mbili mbele hii threat tunaweza kuizima. Ila kwa sasa bado ni tatizo.