Wanyarwanda wenye influence na siasa za Tanzania hapa panawahusu

Wewe Paskali na elimu yako yote lakini bado unaendelea kuamini haya mapokeo ya Kishenzi mpaka leo hii ???
Hata wazungu walipokuja Africa walisema mila zetu za kiasili ni za kishenzi, lakini pamoja na ushenzi wake, zipo na zinaendelea kufuatwa.

Hivyo hayo mapokeo japo kweli ni ya kishenzi lakini yapo, and this is a very bitter reality. Muulize Britanicca Katto ni nani na alikuwa kabila gani, na sasa ni nani na kwa nini amebadili kabila?.

Paskali
 
Ukienda rwanda jimbo la Gitarama kuna watanzania wengi ukiangalia kwa kina siyo watanzania, ila ni wale wakimbizi wa zamani waliokimbilia hapa Tanzania mwaka 1970, 1977,1994 na miaka ya karibuni,

Hapa utakutana na mzee mnonezi, mzee micheli, Ndailos, na Mzee Aganyila, hawa ni watu maarufu wanaoratibu shughuli mbali mbali pamoja na

1.Kuhakikisha wanapata uwakilishi katika ngazi mbali mbali katika nchi ya Tanzania, sekta mbali mbali,

2. Uhakika wa kupata pa kuhifadhi wakimbizi wapya wanaokuja kinyemela ndani ya misitu ya kimisi, Runzewe na biharamulo kasindaga,

3. Kuhakikisha wanaratibu wanyarwanda wote wanaoishi Tanzania kunyonya iwezekanavyo na kutuma hela nyumbani,

4.Kuyatatua matatizo yaliyowapata wenzao sehem mbali mbali Tanzania,

Majimbo ambayo wamefanikiwa kuyakamata mpaka sasa hivi
1.Wilaya nzima ya Muleba, lile ni koloni rasmi la wanyarwanda, kuanzia Mubunda, Bihija, Ngote, Kanyeranyere mpaka ziwa Burigi,

2. Wilaya ya karagwe , mabila, nkwenda, kishao na kaisho,

3.Biharamulo yote

4. Geita hapa wapo wengi mpaka wanazungumza kisukuma na wameshakuwa na ngazi serikalini

5.kigoma baadhi ya maeneo

Sekta ambazo mpaka sasa wamekalia
1.askari polisi na magereza wamepata mpaka ukuu wa magereza yaan bwana jera

2. TRA
3.uhamiaji
4. TCRA
5. Bungeni pia

Lakini kaa mkijua mpango wenu wa kuhakikisha jamaa fulani anakuwa rais hatutakubali sisi kama.watanzania wema , hatutakubali kupangiwa rais na Rwanda kisa kulinda maslahi yenu ya ukanda huu hapa tumekataa sana

Wale vijana watatu wanaotaka kusajiliwa sekta nyeti tumeshapata taarifa na kuwanyima.vibali vya kuwa nchini

BIG UP MZEE MAGUFULI

Ila punguza urafiki na Kagame
sizonje nae ni wa uko,
 
That's right
 
Asilimia kubwa tukichambuliwa mkoa Huu wengi ni wahamiaji tokea Rwanda ndo maana Nyerere alituzinga tusijepata rais pande Hii coz hima empire itakuwa rasmi imefufuliwa
Tunaweza pata asili ya mukulo kwa upande wa baba?
 
Hivi nyie kwanini kanda ya ziwa,Kigoma na kanda zingine isipokuwa kaskazini ndio watu wake wamekuwa wakihisiwa si RAIA wa nchi hii?Huu ni ujinga mtupu na ninaanza kuona harufu ya ukabila iliyoasisiwa na kanda ya kaskazini kushika nyadhifa mbalimbali nyeti, Leo Magufuli ana balance mambo kelele kila kukicha.kumbe ile kuanzisha Magufuli kabila gani ilikuwa mpango mkakati wa Chadema jamaani tujengeni nchi yetu kuanzia kaskazini,kusini,Mashariki na magharibi ili mradi tu ni eneo ndani ya Tanzania.
 
Ukienda rwanda jimbo la Gitarama kuna watanzania wengi ukiangalia kwa kina siyo watanzania, ila ni wale wakimbizi wa zamani waliokimbilia hapa Tanzania mwaka 1970, 1977,1994 na miaka ya karibuni,

Hapa utakutana na mzee mnonezi, mzee micheli, Ndailos, na Mzee Aganyila, hawa ni watu maarufu wanaoratibu shughuli mbali mbali pamoja na

1.Kuhakikisha wanapata uwakilishi katika ngazi mbali mbali katika nchi ya Tanzania, sekta mbali mbali,

2. Uhakika wa kupata pa kuhifadhi wakimbizi wapya wanaokuja kinyemela ndani ya misitu ya kimisi, Runzewe na biharamulo kasindaga,

3. Kuhakikisha wanaratibu wanyarwanda wote wanaoishi Tanzania kunyonya iwezekanavyo na kutuma hela nyumbani,

4.Kuyatatua matatizo yaliyowapata wenzao sehem mbali mbali Tanzania,

Majimbo ambayo wamefanikiwa kuyakamata mpaka sasa hivi
1.Wilaya nzima ya Muleba, lile ni koloni rasmi la wanyarwanda, kuanzia Mubunda, Bihija, Ngote, Kanyeranyere mpaka ziwa Burigi,

2. Wilaya ya karagwe , mabila, nkwenda, kishao na kaisho,

3.Biharamulo yote

4. Geita hapa wapo wengi mpaka wanazungumza kisukuma na wameshakuwa na ngazi serikalini

5.kigoma baadhi ya maeneo

Sekta ambazo mpaka sasa wamekalia
1.askari polisi na magereza wamepata mpaka ukuu wa magereza yaan bwana jera

2. TRA
3.uhamiaji
4. TCRA
5. Bungeni pia

Lakini kaa mkijua mpango wenu wa kuhakikisha jamaa fulani anakuwa rais hatutakubali sisi kama.watanzania wema , hatutakubali kupangiwa rais na Rwanda kisa kulinda maslahi yenu ya ukanda huu hapa tumekataa sana

Wale vijana watatu wanaotaka kusajiliwa sekta nyeti tumeshapata taarifa na kuwanyima.vibali vya kuwa nchini

BIG UP MZEE MAGUFULI

Ila punguza urafiki na Kagame
Noted
 
Mimi ni mtanzania nimezaliwa na kukulia kinondoni DSM, mama yangu ni mtutsi mwenye asili ya rwanda na baba yangu ni mnyamwezi wa isikizya tabora, kitu nilichogundua watutsi wanachukiwa sana na wanyamahanga wasiojiamini na waoga pia.
Wameua watu
 
Msitengeneze chuki za bure!!angalia mfano wa USA ,Obama asili yake ni Kenya,kuna na wabunge ni wa Somali ,hata uingeleza wapo viongozi asili yao ni nchi nyengine!!kinachotakiwa ni uzalendo tu kwa nchi yako!!lakini ni kweli yako makabila wana ubinafsi wa hali ya juu!!hiki ndicho kinachowafanya wa nyarwanda na warundi kuonekana wabaya mbele ya jamii nyengine!!
 
Wameua watu
Tatizo LA hawa hatusi ni kwamba wana ubaguzi na ubinafsi mkubwa sana!!ukimwajiri sehemu au ukimpa post atahakikisha ndugu zake wanaajiriwa hata bila vigezo!!wao wanapendana wao kwa wao!!hii ndiyo shida tu!!na wanapenda kutumikiwa kama jamii ya kifalme!!dharau yao ndiyo inawafanya waonekane watu wa hatari !!
 
Back
Top Bottom