Anna Maria Buberwa
Member
- Oct 3, 2017
- 65
- 121
Kuna ukweliKwa waliosoma Uganda utajua ni jinsi gani Wanyarwanda walivoimenza Uganda....sishangai ata mtoto pendwa wa Mkulu ameoa Muhangaza wa Biharamulo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna ukweliKwa waliosoma Uganda utajua ni jinsi gani Wanyarwanda walivoimenza Uganda....sishangai ata mtoto pendwa wa Mkulu ameoa Muhangaza wa Biharamulo
Mkuu Bratinicca, inaelekea unawajua sana hawa imposters wa banyamulege wanaojifanya Wasukuma!, kiukweli watu hawa ni hatari sana kwa ustawi wa taifa letu, haswa wanavyojua kujipenyeza na kuganda kama luba, vipi kuhusu yule Katto, uliotueleza kwenye uzi ule, alizaliwa wapi, jee wazazi wake halisi ni kina nani na walitokea wapi kabla hawajalowea hapo walipolewea, huyu Katto siku hizi yuko wapi, na kama alibadili jina, kwa nini alibadili jina na sasa anaitwa nani na ana wadhifa gani hapo alipo?.
Paskali
Honestly i've Read You Loud And Clear mm sina mengi ya Kusema Ila " We're Finished".
Huyo unayempa big up ana asili ya huko?Ukienda rwanda jimbo la Gitarama kuna watanzania wengi ukiangalia kwa kina siyo watanzania, ila ni wale wakimbizi wa zamani waliokimbilia hapa Tanzania mwaka 1970, 1977,1994 na miaka ya karibuni,
Hapa utakutana na mzee mnonezi, mzee micheli, Ndailos, na Mzee Aganyila, hawa ni watu maarufu wanaoratibu shughuli mbali mbali pamoja na
1.Kuhakikisha wanapata uwakilishi katika ngazi mbali mbali katika nchi ya Tanzania, sekta mbali mbali,
2. Uhakika wa kupata pa kuhifadhi wakimbizi wapya wanaokuja kinyemela ndani ya misitu ya kimisi, Runzewe na biharamulo kasindaga,
3. Kuhakikisha wanaratibu wanyarwanda wote wanaoishi Tanzania kunyonya iwezekanavyo na kutuma hela nyumbani,
4.Kuyatatua matatizo yaliyowapata wenzao sehem mbali mbali Tanzania,
Majimbo ambayo wamefanikiwa kuyakamata mpaka sasa hivi
1.Wilaya nzima ya Muleba, lile ni koloni rasmi la wanyarwanda, kuanzia Mubunda, Bihija, Ngote, Kanyeranyere mpaka ziwa Burigi,
2. Wilaya ya karagwe , mabila, nkwenda, kishao na kaisho,
3.Biharamulo yote
4. Geita hapa wapo wengi mpaka wanazungumza kisukuma na wameshakuwa na ngazi serikalini
5.kigoma baadhi ya maeneo
Sekta ambazo mpaka sasa wamekalia
1.askari polisi na magereza wamepata mpaka ukuu wa magereza yaan bwana jera
2. TRA
3.uhamiaji
4. TCRA
5. Bungeni pia
Lakini kaa mkijua mpango wenu wa kuhakikisha jamaa fulani anakuwa rais hatutakubali sisi kama.watanzania wema , hatutakubali kupangiwa rais na Rwanda kisa kulinda maslahi yenu ya ukanda huu hapa tumekataa sana
Wale vijana watatu wanaotaka kusajiliwa sekta nyeti tumeshapata taarifa na kuwanyima.vibali vya kuwa nchini
BIG UP MZEE MAGUFULI
Ila punguza urafiki na Kagame
sio mimi ninayesema wanajipenyeza to the positions of power, bali walikuwepo, hadi jeshini, walipobainika wamejulikana, walikimbia wenyewe na wengine walifukuzwa, tatizo sasa ni wale waliolowea, kuzaliwa, kusomea na kuzungumza lugha za wenyeji ambao ni very hard to detect.
Paskali
Mkuu Gianluigi Lentini, hakuna nchi iliyopata maendeleo kwa kuwategemea watu wake pekee, hivyo wahamiaji ni watu muhimu sana, hata hao wahamiaji haramu, ila wanapojipenyeza kwenye uongozi na kujifanya ni Watanzania, ni hatari sana kwa usalama wetu.Mkuu Mayalla Naunga Mkono Hoja Ya Brittanica Hawa Wanyarwanda Wameshajipenyeza Sana Hasa Hasa Kwenye Sekta Ya Elimu Hususani Vyuoni na HighSchools Sijui Serikali Imejipangaje Kupambana Na Hawa Watu Hatari.
Happy to learn you are from RwandaYou mean no any Tanzanian in Rwanda system?
We gonna chase them all and leave our peaceful and clean Rwanda lol!!
Maisha yako yote... Africa haiko United. Kila upande ufe na majanga yakeAfrica is One!
Africa must unite!
Kama siyo mipaka ya Kikoloni hii mada isingekuwepo.
Utamkataliaje mtoto wa muhamiaji ambaye ni mtanzania kwa kuzaliwa asiwe kiongozi?Mkuu Gianluigi Lentini, hakuna nchi iliyopata maendeleo kwa kuwategemea watu wake pekee, hivyo wahamiaji ni watu muhimu sana, hata hao wahamiaji haramu, ila wanapojipenyeza kwenye uongozi na kujifanya ni Watanzania, ni hatari sana kwa usalama wetu.
Paskali
Kwa upande wa geita hatuna watu hao walioshika nyazifa serikali.....ungejua unaemwamini ndio tatizo lenyewe wala usingeandika
ohooo!!!Kato, mkazi wa kagera ambaye mama alikuja kuolewa na msukuma nae akawa msukuma na kuchukia kabila lake la ukoo wa wazira nkende ambao kigoma, rwanda na burundi kuna wazira nkende au wajiji wazira nkende.
Umesomeka na hongera sana mkuu.TUNACHOKISHUHUDIA SASA:
Ni kwa sababu Watutsi walikwisha panga mikakati, na ipo wazi sio siri, ya kutawala nchi zote zinazozunguuka great lakes kama HIMA EMPIRE.
Hii dhamira yao sio kwa kuwa ni watu wabaya, la hasha. Ni kwa sababu hali waliojikuta nayo baada ya wakoloni kuwatambua kama falme (Tutsi Kingdoms) na kuanza kuwapa elimu za kitawala (Law, humanities, languages, etc.) na kijeshi.
Wakati wote huu Wahutu walipewa elimu za kuwa watumishi wa watawala kama vile engineering, statistics, medicine, makarani, etc.
Sababu nyingine ya Watutsi kutaka kuzivamia hizi nchi nyingine jirani ni ufinyu wa ardhi katika himaya zao za Rwanda na Burundi. Hebu fikiria, Rwanda na Burundi wana population density sawa na ile ya Belgium. Fananisha hizi pop. densities (in people/sq.km) za hizi nchi:
Nchi zinazozizunguuka Rwanda na Burundi:
* RWANDA 380
* BURUNDI 298
* UGANDA 136
* TZ 46
* DRC 29
Nchi zilizoendelea
* ISRAEL 371
* BELGIUM 355
* JAPAN 337
* UK 255
* GERMAN 229
* SWISS 191
* FRANCE 114
Source: List of countries by population density - Simple English Wikipedia, the free encyclopedia
Unaona tatizo hapo?
Nchi ya kilimo cha jembe la mkono kama Rwanda wana density sawa na mara tatu ya nchi ya viwanda kama France, au kukaribia sawa na ile ya Belgium (capital center ya almasi duniani). Hii pop. density is not sustainable.
Sasa fananisha density ya Rwanda/Burundi na zile za DRC au TZ. Pengine sasa unaweza kuelewa kwa nini Watutsi wa Rwanda na Burundi wangependa zile falme zao (now disguised as democratic governments) ziuingie mfumo wa serikali za nchi kama TZ na DRC ili waweze kuukamilisha Ufalme wao kwa nafasi ya kutosha.
Na sina shaka wakifanikiwa hili watawashawishi watu wao wote duniani wanaotaka, warudi kwenye himaya zao mpya. Kama wanavyofanya Israel.
Tumeona wanachokifanya Uganda, DRC, na sasa TZ. Watutsi ni watu wazuri kama marafiki lakini kila wanapofika wana ambition ya kuwa wao ndio wawe watawala kwa sababu bado wanaamini wana haki ya kudumisha/kurudisha zile falme zao.
Wataanza kuingilia vyombo vya ulinzi na usalama, halafu vyombo vingine nyeti vya serikali na hatimae uongozi wa nchi. Na sababu moja kubwa ni kuwa hawana nafasi tena Rwanda na Burundi.
Hizi nchi mbili (Rwanda na Burundi) ni baruti onayosubiri kulipuka wakati wowote ule. Kwa kweli kuna haja ya kuwatafutia suluhisho la kudumu.
KOSA LA WAKOLONI
Kosa kubwa sana walilofanya wakoloni na League of Nations pale baada ya kwisha vita vya kwanza vya dunia ni kulichukua koloni la Ujerumani (Deutsche Ost-Afrika) na kuligawa sehemu tatu. Tanganyika, Rwanda na Burundi.
Tanganyika walipewa Uingereza kama protectorate na Rwanda, Burundi walipewa mfalme wa Belgium aliekuwa anamiliki Congo (DRC ya leo) kama shamba lake binafsi.
Wakati wa uhuru, badala ya kuziunganisha Rwanda, Burundi na Congo kama nchi moja wakaziacha kama nchi 3 sovereign and independent.
Kama wangeziunganisha hizi nchi 3 (zote zilikuwa zinazungumza kifaransa) huu uhaba wa ardhi waliokuwa nao leo usingekuwepo.
Nafikiri pia kitu kingine kilichozuia Rwanda na Burundi kuwa sehemu ya Congo ni kuwa Watutsi walitaka kudumisha zile falme zao mbili na waliogopa kumezwa na Congo.
HITIMISHO
Kwa kweli tunapaswa kuwaombea hawa majirani zetu wakae kwa amani kwa sababu wakianza tu kuchinjana wote watakuwa wageni wetu.
Kama isingekuwa hii ambition yao ya kuwa kama parasite na hatimae kumuua host nisingeona shida. Lakini hawa hawaji kujitafutia maisha na amani tu, hapana. Wana lengo la kutunyang'anya hii nchi.
Asanteni wakuu kwa kuwa macho nao.