Wanyarwanda wenye influence na siasa za Tanzania hapa panawahusu

Wanyarwanda wenye influence na siasa za Tanzania hapa panawahusu

Utamkataliaje mtoto wa muhamiaji ambaye ni mtanzania kwa kuzaliwa asiwe kiongozi?
Hakuna mtu yoyote anayemkatalia mtoto wa mhamiaji yoyote aliyezaliwa nchini, kuwa kiongozi, hata Obama ni mtoto wa mhamiaji wa Kenya, hata mimi wife anaishi US na nina watoto huko, wamezaliwa huko na ni rais wa US. Tunachopinga, ni wahamiaji haramu, waliozaliwa huko walikozaliwa, kisha wakajipenyeza Tanzania na kujichanganya wenyeji hivyo kujifanya ni Watanzania kabisa!.

Tuna viongozi wengi wageni, wamejikubali ni wageni, wameomba uraia tukawapa na sasa ni viongozi wetu wazuri tuu. Haijalishi umezaliwa wapi, tunachotaka ni ukweli tuu.

Paskali
 
Africa is One!
Africa must unite!

Kama siyo mipaka ya Kikoloni hii mada isingekuwepo.
Hebu tupishe......to unite my foot.

Tuna unite kwenye kuibiana na sio kusaidiana......kama wao wanataka ku'unite waka'unite na Congo ambayo inahitaji sana sapoort ya majirani kwasasa......

Sisi tuko poa wenyewe tulivyo.
 
Oh yes,
Ni muguu wa binti za Kagera. Sasa inakuaje, upo pande gani wewe, nikutembelee.
Mguu si wangu huo live natisha lkn nitongoze tu coz nayo ni fahari kwetu sisi wanawake
 
Hakuna mtu yoyote anayemkatalia mtoto wa mhamiaji yoyote aliyezaliwa nchini, kuwa kiongozi, hata Obama ni mtoto wa mhamiaji wa Kenya, hata mimi wife anaishi US na nina watoto huko, wamezaliwa huko na ni rais wa US. Tunachopinga, ni wahamiaji haramu, waliozaliwa huko walikozaliwa, kisha wakajipenyeza Tanzania na kujichanganya wenyeji hivyo kujifanya ni Watanzania kabisa!.

Tuna viongozi wengi wageni, wamejikubali ni wageni, wameomba uraia tukawapa na sasa ni viongozi wetu wazuri tuu. Haijalishi umezaliwa wapi, tunachotaka ni ukweli tuu.

Paskali
Mkuu Pascal Mayalla vema sana tuletee kaobama hapa Tanzania
 
Sheria zinasemaje? Maana pasipo shaka wanaotuuza sio hao tunawadhania.

We have been compromised
"compromised"........... well there we are!

nadhan kwa hali za nchi zetu,hatuna namna tumenaswa na siamini km waliotuuza walikua hawamjui.............. no way!
 
"compromised"........... well there we are!

nadhan kwa hali za nchi zetu,hatuna namna tumenaswa na siamini km waliotuuza walikua hawamjui.............. no way!
Na sio wanyamulenge...tunahanisha magoli
 
By the way, where is our realky threat as a nation? Mbona dunia nzima inawahamiaji?
 
Uzalendo wa kweli wa nchi yako ni pamoja na kututajia huyo Katto aliyekuja unamuona, akitokea wapi?, taarifa zipo Mzee Machalila ni babu mzaa mama, jee baba yake halisi ni nani, ni mtu wa wapi, na Katto mwenyewe alizaliwa wapi?. Huu ndio Uzalendo wenyewe wa kweli.

Paskali
Paskali, na wewe unamgwaya jamaa?
 
Back
Top Bottom