Wanyarwanda wenye influence na siasa za Tanzania hapa panawahusu

Wanyarwanda wenye influence na siasa za Tanzania hapa panawahusu

Hivi nyie kwanini kanda ya ziwa,Kigoma na kanda zingine isipokuwa kaskazini ndio watu wake wamekuwa wakihisiwa si RAIA wa nchi hii?Huu ni ujinga mtupu na ninaanza kuona harufu ya ukabila iliyoasisiwa na kanda ya kaskazini kushika nyadhifa mbalimbali nyeti, Leo Magufuli ana balance mambo kelele kila kukicha.kumbe ile kuanzisha Magufuli kabila gani ilikuwa mpango mkakati wa Chadema jamaani tujengeni nchi yetu kuanzia kaskazini,kusini,Mashariki na magharibi ili mradi tu ni eneo ndani ya Tanzania.
Panua akili zaidi na uache hoja za kitoto, hivi wewe hukuwahi kusikia wachaga wakiambiwa wana asili ya Kenya? Tena huenda mbali zaidi kwa kuonyesha koo zilizopo uchagani na ambazo zinapatikana Kenya pia, kama akina Maina etc
 
kiukwel hawa watu hawafai mm kwetu chato kachwamba yaan ukienda eneo moja ichwankima wameshanunua maeneo kibao na wanalima sana asa hv kama wasukuma, pia wengi wao wamekuwa wasukuma kabisa kwa mtu ambae sio msukuma ni raisi kuwaamin kuwa ni wasukuma, mara nyingi ukikutana nao huwa wanataja makabila matatu, yaan " mnyambo, muhangaza au msukuma" yaan ichwankima kwa sasa ndo wao kila kitu nashaangaa serikali ipo inawafaham kabisa na wanawaona kila siku wakishusha mijengo pale na kununua maeneo. hawa niwatu hatari sana kwa miaka ijayo, maana ata Rwanda historia inaonyesha walifika kama kikundi kidogo kikitokea somalia na sudani wakiwa na mifugo, kwa sasa wahutu wote walishatawanywa na kubaki watusi ambao wanazid kujipanua, serikali liangalieni sana hili mbelen ni hatari sana kwa ustawi wa nchi yetu, tusifurahie kuwaoa na kuwawenda ndani tukiamin ni watu wema kwetu
REF; Walaka wa Mchungaji Mtikila@KAGAME APENYEZA WANYARWANDA 5000 WENYE SILAHA' Viongozi wenye mapenzi mema na hii nchi msipuuze hii inshu sisi tunaotoka haya maeneo tunawafaham vizuri sn hawa watu
Hizi ni fikra za kipuuzi sana, kama MTU unakuja analeta maendeleo mkaribishe lakini humu watu wanahangaika kutengeneza chuki bila sababu ya maana, muhimu serikali yetu ni kuhakikisha kunakwepo na amani. US imejengwa na wageni na iliwakaribisha watu kutoka kila upande wa dunia hii na wakapeleka maendeleo ila sisi waswahili kwa akili zetu ndogo tunahangaika kuwatenga waafrika wenzetu bila sababu. Ni upuuzi MTU akisema hawa watu wanahatarisha amani yetu kwa sababu amekuja amenunua ardhi na amelima sana. Someni historia makabila mengi nchi hii wamehamia, kutoka maeneo ya mbali na bado tuna amani.
Narudia tena hizi fikra zinazoendelea humu ni upuuzi usio na maana. Watu wameona kuna opportunity wamekuja kufanya kazi waacheni wafanye kazi tujenge nchi sio kuwa na wivu wa kipuuzi kwa sababu ya uvivu wetu.
Watu wanahangaika kuongea kwa mafumbo kama vile wanaongea kitu cha maana zaidi ukifuatilia ni majungu na mipasho kama uswahilini.
Kama sisi tumeshindwa kutumia opportunity zilizopo acha waje watufundishe ilani tusiwe na wivu wa kipuuzi kama huu.
 
sio mimi ninayesema wanajipenyeza to the positions of power, bali walikuwepo, hadi jeshini, walipobainika wamejulikana, walikimbia wenyewe na wengine walifukuzwa, tatizo sasa ni wale waliolowea, kuzaliwa, kusomea na kuzungumza lugha za wenyeji ambao ni very hard to detect.

Paskali
Paschal naomba tuwe na na fikra za kujenga taifa kwani kuna shida gani MTU ambaye kabila lake Lina asili ya Rwanda kushika madaraka makubwa kama ni mtanzania. Kumbuka kuna wanyarwanda wenye asili ya Tanzania kama wewe na Mimi, je wanajisikiaje kwa haya mnayoandika? Nadhani ni fikra za kijinga kwa wasomi kufikiri nchi hii kuna watu hawatakiwi kuwa kwenye uongozi kwa sababu ya asili waliyotoka.
Huwezi kuwahukumu watu kwa sababu ya mauaji yaliyotokea kwao. Yale mauaji walikuwa ni sababu za kisiasa na tamaa za madaraka za wanasiasa lakini sio kosa la wananchi wenye asili ya pale.
Narudia itakuwa ni upuuzi kuwahukumu waafrika wenzetu kwa sababu ya asili yao na kama wametuzidi maarifa tuwakaribishe tujifunze ili na sisi tuendelee.
 
Hakuna nchi duniani iliyopata maendeleo yake yenyewe kwa kuwategemea watu wake pekee, hata Marekani imewategemea sana wahamiaji walowezi. Hata Obama ni mtoto wa mhamiaji kutoka Kenya.

Mimi ni muumini wa ukweli, nothing but the truth. Kuwa mhamiaji sio tatizo, ndio maana tumeweka sheria, taratibu na kanuni za uraia, kwa kigezo cha Mtanzania ni nani na ana sifa zipi.

Inapotokea mtu sii raia wa Tanzania kwa kuzaliwa, mzazi wake mmoja sii raia, kumewekwa utaratibu wa declaration akifika miaka 18. Natatizwa na watu wasio raia haswa maeneo ya mipakani, wa
liojipenyeza, kukulia, kusomea na kulowea Tanzania kama wenyeji kwa kuzungumza lugha za wenyeji na kupose kama wenyeji. Watu hawa wakipanda hadi kushika positions of powers, ni very risk, naomba hapa nisiseme risk kivipi for security reasons.

Watu wa aina hii nimewazungumza
Wanyarwanda wenye influence na siasa za Tanzania hapa panawahusu
na hapa, Wanyarwanda wenye influence na siasa za Tanzania hapa panawahusu

Kitu kimoja watanzania tutakuja kukijutia sana. kwani huwa tunaingiza emotion na tunakuwa too sentimental hasa tunapowajadili hawa ndugu zetu raia wa kigeni. linapokuja suala la national security lazima tu draw line. Na katika njia moja ambayo iko effective kwenye ku take over nchi kina mama wanatumika sana..kwanza hutumika kuolewa na watu ambayo wana influence kwenye nchi ima matajiri, policy makers au celebrities na hao inakiuwa wameshatiwa mfukoni na wata resist kitu chochote kile ambacho kinaathiri maisha ya wale wahamiaji ambao mke wake au mama watoto wake ni miongoni mwao na hii inaenda sambamba na kuwa influence watoto wao ambayo wana uraia wa Tanzania kwa kupitia baba zao na miussion yao kubwa sana ni kuhakikisha interest za wahamiaji wale hariko hatarini. Na njia nyengine wanatumia prostitution rings ambazo wanawatafuta watu maarufu na kuwapelekea Malaya na kuwachukua video za siri na kuzitumia kama intimidation once kama hawayakubali matakwa yao.

Hivi sasa Tanzania ni hali mbaya sana na hawa jamaa wanaitumia vilivyo hali ya siasa na upinzani uliokuwepo Tanzania kama ni loop hole ya kutekeleza matakwa yao. hivi sasa watu wanahisi uzalendo kama kuwa ni kibaraka cha CCM na wanazichukua chuki zao kwa CCM na kuhatarisha usalama wa nchi kwani wao huwa wanafurahi kuona CCM inafeli hata kama action yao inaangamiza nchi. Na ndivyo tulivyofikia hivi sasa na inasikitisha sana

Kwa hivyo tutofautishe kuwa loyal kwa CCM au Chadema na kuwa loyal kwa Tanzania..Kwani kuwa loyal kwa vyama vyetu ni choice lakini kuwa loyal kwa nchi yetu ni responsibility
 
Kwann watanzania tunawachukia wanyarwanda,
Jamani ikumbukwe kuwa rwanda Burundi kenya Uganda na inchi zingize za jirandi sis sote ni ndugu,
Mfano...
Ukienda Uganda, waganda wengi wanafnana na wahaya na lugha yao inafanana
Ukienda Rwanda na Burundi wanafanana Sana na watu wa kigoma , ngara na baadhi ya maeneo ya kagera, ukianzia lugha na tamaduni kwa ujumla,
The same to mbeya na zambia, Kenya na Mara etc..
Mipaka tu ya wakoloni ndio ilitutenganisha jamani achwni hizo za kipunguani,
Fanyeni kazi na siyo majungu , pumbaavu kabisa ..!!
 
mamaeee......yani kuna watu wangese sana.....hii issue iko serious sana...na they have long term plan...waulize waganda kinachowakuta saiv..machafuko ya sehemu za kongo mastermind ni kagame...sasa kuna watu wanaofikir kwa kutumia makato wanabisha.....xaxa ngoja cku waanze vuguvugu la mabadiliko kupitia migongo ya siasa ndo mutaelewa kua WANYARWANDA SIO WATU WAZURI KABISAA....mjinga mmoja apa anasema AFRICA UNITE....UNITE akati watu wana underground motives.......
 
Hizi ni fikra za kipuuzi sana, kama MTU unakuja analeta maendeleo mkaribishe lakini humu watu wanahangaika kutengeneza chuki bila sababu ya maana, muhimu serikali yetu ni kuhakikisha kunakwepo na amani. US imejengwa na wageni na iliwakaribisha watu kutoka kila upande wa dunia hii na wakapeleka maendeleo ila sisi waswahili kwa akili zetu ndogo tunahangaika kuwatenga waafrika wenzetu bila sababu. Ni upuuzi MTU akisema hawa watu wanahatarisha amani yetu kwa sababu amekuja amenunua ardhi na amelima sana. Someni historia makabila mengi nchi hii wamehamia, kutoka maeneo ya mbali na bado tuna amani.
Narudia tena hizi fikra zinazoendelea humu ni upuuzi usio na maana. Watu wameona kuna opportunity wamekuja kufanya kazi waacheni wafanye kazi tujenge nchi sio kuwa na wivu wa kipuuzi kwa sababu ya uvivu wetu.
Watu wanahangaika kuongea kwa mafumbo kama vile wanaongea kitu cha maana zaidi ukifuatilia ni majungu na mipasho kama uswahilini.
Kama sisi tumeshindwa kutumia opportunity zilizopo acha waje watufundishe ilani tusiwe na wivu wa kipuuzi kama huu.
Hivi hizi ni enzi za makabila kuhamia kutoka eneo moja kwenda jingine? Vita ya maji maji inafika inakuta Makabila yalishahamia na kutulia.

Tutafichaje hoja za msingi kua wageni wanavamia (siyo kuhamia) mipakani na kujiingiza kwenye nyadhifa mbalimbali za kiserikali kisa wamelima?

Mgeni anaruhusiwa vipi kumiliki ardhi akiwa ugenini?

Huko USA si ndiyo Trump anawabana wageni sasa hivi? Inazungumziwa USA gani? Wao hawana taratibu za mgeni kuingia na kumiliki mali?

Sisi hatuna hizo taratibu? Wao wanazifuata?
 
Muhimu ni kuhakikisha wanafuata sheria za nchi lakini humu watu wanaongea utafikiri wanyarwanda ni watu wasiotakiwa kuishi hii nchi
 
Ukienda rwanda jimbo la Gitarama kuna watanzania wengi ukiangalia kwa kina siyo watanzania, ila ni wale wakimbizi wa zamani waliokimbilia hapa Tanzania mwaka 1970, 1977,1994 na miaka ya karibuni,

Hapa utakutana na mzee mnonezi, mzee micheli, Ndailos, na Mzee Aganyila, hawa ni watu maarufu wanaoratibu shughuli mbali mbali pamoja na

1.Kuhakikisha wanapata uwakilishi katika ngazi mbali mbali katika nchi ya Tanzania, sekta mbali mbali,

2. Uhakika wa kupata pa kuhifadhi wakimbizi wapya wanaokuja kinyemela ndani ya misitu ya kimisi, Runzewe na biharamulo kasindaga,

3. Kuhakikisha wanaratibu wanyarwanda wote wanaoishi Tanzania kunyonya iwezekanavyo na kutuma hela nyumbani,

4.Kuyatatua matatizo yaliyowapata wenzao sehem mbali mbali Tanzania,

Majimbo ambayo wamefanikiwa kuyakamata mpaka sasa hivi
1.Wilaya nzima ya Muleba, lile ni koloni rasmi la wanyarwanda, kuanzia Mubunda, Bihija, Ngote, Kanyeranyere mpaka ziwa Burigi,

2. Wilaya ya karagwe , mabila, nkwenda, kishao na kaisho,

3.Biharamulo yote

4. Geita hapa wapo wengi mpaka wanazungumza kisukuma na wameshakuwa na ngazi serikalini

5.kigoma baadhi ya maeneo

Sekta ambazo mpaka sasa wamekalia
1.askari polisi na magereza wamepata mpaka ukuu wa magereza yaan bwana jera

2. TRA
3.uhamiaji
4. TCRA
5. Bungeni pia

Lakini kaa mkijua mpango wenu wa kuhakikisha jamaa fulani anakuwa rais hatutakubali sisi kama.watanzania wema , hatutakubali kupangiwa rais na Rwanda kisa kulinda maslahi yenu ya ukanda huu hapa tumekataa sana

Wale vijana watatu wanaotaka kusajiliwa sekta nyeti tumeshapata taarifa na kuwanyima.vibali vya kuwa nchini

BIG UP MZEE MAGUFULI

Ila punguza urafiki na Kagame
Hizi ndio akili mfu,sasa wewe,Ukibagua watu kutokana na asili yao,nani atabaki salama,ukienda Tunduma,pale kumtofautisha mwenyeji na mgeni,ni vigumu,wote wanaongea kiwemba,nenda wilaya ya nanyumbu,kimakonde kule ndio lugha,na utamaduni unafanana na RAIA wa Msumbiji,sasa ulitaka wenyeji wa Biharamulo,karagwe,Kigoma,Muleba,mpaka Kyaka,wafanane na nani,kwa lugha,na utamaduni,
Nchi hii haitaji mgeni,kutoka Rwanda,kuja kutuhujumu,tuna watu wameiumiza nchi hii,na ni wazaliwa wa dar,Dodoma,Mafisadi wote,wa CCM,niambie ni wangapi wana asili ya Rwanda,Acha kuwa paranoid,majambazi wa uchumi wetu tunao hapa hapa,lakini hata kama Nchi ya Rwanda,inataka kupandikiza watu wake,hilo si jambo geni,linafanywa ulimwenguni kote,hata sisi wapo wa tz,wenye nyadhifa nyeti Rwanda,na ndugu zao wapo hapahapa bongo,
 
Mkuu Bratinicca, inaelekea unawajua sana hawa imposters wa banyamulege wanaojifanya Wasukuma!, kiukweli watu hawa ni hatari sana kwa ustawi wa taifa letu, haswa wanavyojua kujipenyeza na kuganda kama luba, vipi kuhusu yule Katto, uliotueleza kwenye uzi ule, alizaliwa wapi, jee wazazi wake halisi ni kina nani na walitokea wapi kabla hawajalowea hapo walipolewea, huyu Katto siku hizi yuko wapi, na kama alibadili jina, kwa nini alibadili jina na sasa anaitwa nani na ana wadhifa gani hapo alipo?.

Paskali
😀
Waiting... Huyu Katto ameuliziwa Mno..Nimepata mshawasha...Ni nani?

majibu Tafadhali
 
Miaka ya themanini na tisini Wahaya wengi walikuwa wanapenda kujiita Wasukuma na kuogopa kusema ukweli kama ulikuwa hujui.
Huyo uliyemuona basi hakuwa Muhaya... Hakuna Muhaya anaogopa kusema kuwa yeye ni muhaya tena kwa miaka hiyo unayoitaja!
 
Sio chuki, mipaka mingine yote imekata makabila pande zote hivyo huwezi sikia Mganda akilalamikiwa kujifanya Mhaya, au Mmasai wa Kenya na Tanzania, Mjaluo wa Kenya na Tanzania, Mmakonde wa Msumbiji na Tanzania, Mnyasa wa Malawi na Tanzania, wote hawa hawana matatizo kabisa.

Lakini kwa upande wa Banyamulenge kuna tatizo, wanajipenyeza kwa makusudi kwenye positions of power ili kuitawala kwa kujifanya Watanzania katika juhudi za kuirudisha ila Bahima Kingdom kisiri siri. Kagame, Museveni, Kabila, na...wote ni wale wale!.

Paskali
Anhaa! Kumbe, Sasa napata mwanga... Hivi vitu kumbe ni vipana hivi?! Mbona kama tayari sasa!..

Sikujua kumbe upana Wa KIHISTORIA?!
 
Kuna yoyote anayezungumzia criminals hapa?. Hapa tunazungumzia impostors wa kibanyamulenge, posing as Tanzanians.

P.
Kuna waJaluo Wa Kenya wanajitambulisha kama wakenya.. Wachina same way.. Wamachinga na Wakongo... Usipojitambulisha Luna mawili...na yote chimbuko lake ni nia ovu
1- unapanga njama! Ambazo sio njema.
2- unakwepa kulipa mapato yetu... Na kuheshimu taratibu za kufanya kazi ugenini..

Kwa vyovyote wewe ni liability... Na threat kwa ustawi Wa jamii na taifa letu.

Plus wanakata miti na kutuharibia mazingira bila kujali huko vijijini... Na kiburi wanatoa wapi?!
 
Tunaichukulia hii issue kisiasa ila ukweli ni kwamba Kagame si mtu mzuri kwetu hata kidogo. Kizazi chetu kitakuja kutulaumu mno
Ulikuwa Hujui hilo, watu watakucheka. Ile ni Damu ya Israel Mzee, mikakati ni sehemu ya masiha yao. Na ni too selfish.
 
Hivi kwa wataalamu,naomba kujua tofauti kati ya wafuatao kwani Mimi naona kama ni wamoja: Tutsi (Burundi Na Rwanda ),Nyamulenge (DRC), Nyankole(Uganda),Nyambo (Karagwe),Walangira(with in haya ),Wasilanga (with in Kerewe), Wazinza (Sengerema),Masai, wasomali and the like
 
Back
Top Bottom