Wanyarwanda wenye influence na siasa za Tanzania hapa panawahusu

Wanyarwanda wenye influence na siasa za Tanzania hapa panawahusu

TUNACHOKISHUHUDIA SASA:
Ni kwa sababu Watutsi walikwisha panga mikakati, na ipo wazi sio siri, ya kutawala nchi zote zinazozunguuka great lakes kama HIMA EMPIRE.

Hii dhamira yao sio kwa kuwa ni watu wabaya, la hasha. Ni kwa sababu hali waliojikuta nayo baada ya wakoloni kuwatambua kama falme (Tutsi Kingdoms) na kuanza kuwapa elimu za kitawala (Law, humanities, languages, etc.) na kijeshi.

Wakati wote huu Wahutu walipewa elimu za kuwa watumishi wa watawala kama vile engineering, statistics, medicine, makarani, etc.

Sababu nyingine ya Watutsi kutaka kuzivamia hizi nchi nyingine jirani ni ufinyu wa ardhi katika himaya zao za Rwanda na Burundi. Hebu fikiria, Rwanda na Burundi wana population density sawa na ile ya Belgium. Fananisha hizi pop. densities (in people/sq.km) za hizi nchi:

Nchi zinazozizunguuka Rwanda na Burundi:
* RWANDA 380
* BURUNDI 298
* UGANDA 136
* TZ 46
* DRC 29

Nchi zilizoendelea
* ISRAEL 371
* BELGIUM 355
* JAPAN 337
* UK 255
* GERMAN 229
* SWISS 191
* FRANCE 114

Source: List of countries by population density - Simple English Wikipedia, the free encyclopedia

Unaona tatizo hapo?

Nchi ya kilimo cha jembe la mkono kama Rwanda ina density sawa na mara tatu ya nchi ya viwanda kama France, au kukaribia sawa na au kuzidi ile ya Belgium (capital center ya almasi duniani). Hii pop. density is not sustainable.

Sasa fananisha density ya Rwanda/Burundi na zile za DRC au TZ. Pengine sasa unaweza kuelewa kwa nini Watutsi wa Rwanda na Burundi wangependa zile falme zao (now disguised as democratic governments) ziuingilie mfumo wa serikali wa nchi kama TZ na DRC ili waweze kuukamilisha Ufalme wao kwa nafasi ya kutosha.

Na sina shaka wakifanikiwa hili watawashawishi watu wao wote duniani, wanaotaka, warudi kwenye himaya zao mpya. Kama wanavyofanya Israel.

Tumeona wanachokifanya Uganda, DRC, na sasa TZ. Watutsi ni watu wazuri kama marafiki lakini kila wanapofika wana ambition ya kuwa wao ndio wawe watawala kwa sababu bado wanaamini wana haki ya kudumisha/kurudisha zile falme zao.

Wataanza kuingilia vyombo vya ulinzi na usalama, halafu vyombo vingine nyeti vya serikali na hatimae uongozi wa nchi. Na sababu moja kubwa ni kuwa hawana nafasi tena Rwanda na Burundi.

Hizi nchi mbili (Rwanda na Burundi) ni baruti inayosubiri kulipuka wakati wowote ule. Kwa kweli kuna haja ya kuwatafutia suluhisho la kudumu.

KOSA LA WAKOLONI
Kosa kubwa sana walilofanya wakoloni na League of Nations pale baada ya kwisha vita vya kwanza vya dunia ni kulichukua koloni la Ujerumani (Deutsche Ost-Afrika) na kuligawa sehemu tatu. Tanganyika, Rwanda na Burundi.

Tanganyika ilipewa Uingereza kama protectorate na Rwanda, Burundi alipewa mfalme wa Belgium aliekuwa anamiliki Congo (DRC ya leo) kama shamba lake binafsi.

Wakati wa uhuru, badala ya kuziunganisha Rwanda, Burundi na Congo kama nchi moja wakaziacha kama nchi 3 sovereign and independent.

Kama wangeziunganisha hizi nchi 3 (zote zilikuwa zinazungumza kifaransa) huu uhaba wa ardhi waliokuwa nao leo usingekuwepo.

Nafikiri pia kitu kingine kilichozuia Rwanda na Burundi kuwa sehemu ya Congo ni kuwa Watutsi walitaka kudumisha zile falme zao mbili na waliogopa kumezwa na Congo.

HITIMISHO
Kwa kweli tunapaswa kuwaombea hawa majirani zetu wakae kwa amani kwa sababu wakianza tu kuchinjana wote watakuwa wageni wetu.

Kama isingekuwa hii ambition yao ya kuwa kama parasite na hatimae kumuua host nisingeona shida. Lakini hawa hawaji kujitafutia maisha na amani tu, hapana. Wana lengo la kutunyang'anya hii nchi.

Asanteni wakuu kwa kuwa macho nao.
 
sio mimi ninayesema wanajipenyeza to the positions of power, bali walikuwepo, hadi jeshini, walipobainika wamejulikana, walikimbia wenyewe na wengine walifukuzwa, tatizo sasa ni wale waliolowea, kuzaliwa, kusomea na kuzungumza lugha za wenyeji ambao ni very hard to detect.

Paskali
Rostam Aziz ni wakala wa CIA? nyendo zake zinatia shaka

Hiyo ni moja ya thread kama hizi huko siku za nyuma. Ila haikuwatarget watu specific
TUNACHOKISHUHUDIA SASA:
Ni kwa sababu Watutsi walikwisha panga mikakati, na ipo wazi sio siri, ya kutawala nchi zote zinazozunguuka great lakes kama HIMA EMPIRE.

Hii dhamira yao sio kwa kuwa ni watu wabaya, la hasha. Ni kwa sababu hali waliojikuta nayo baada ya wakoloni kuwatambua kama falme (Tutsi Kingdoms) na kuanza kuwapa elimu za kitawala (Law, humanities, languages, etc.) na kijeshi.

Wakati wote huu Wahutu walipewa elimu za kuwa watumishi wa watawala la vile engineering, statistics, medicine, makarani, etc.

Sababu nyingine ya Watutsi kutaka kuzivamia hizi nchi nyingine jirani ni ufinyu wa ardhi katika himaya zao za Rwanda na Burundi. Hebu fikiria, Rwanda na Burundi wana population density sawa na ya ile ya Belgium. Fananisha hizi pop. densities (in people/sq.km) za hizi nchi:

Nchi zinazozizunguuka Rwanda na Burundi:
* RWANDA 380
* BURUNDI 298
* UGANDA 136
* TZ 46
* DRC 29

Nchi zilizoendelea
* ISRAEL 371
* BELGIUM 355
* JAPAN 337
* UK 255
* GERMAN 229
* SWISS 191
* FRANCE 114

Unaona tatizo hapo?

Nchi ya kilimo cha jembe la mkono kama Rwanda wana density sawa na mara tatu ya nchi ya viwanda kama France, au kukaribia sawa na ile ya Belgium (capital center ya almasi duniani). Hii pop. density is not sustainable.

Sasa fananisha density ya Rwanda/Burundi na zile za DRC au TZ. Pengine sasa unaweza kuelewa kwa nini Watutsi wa Rwanda na Burundi wangependa zile falme zao (now disguised as democratic governments) ziuingie mfumo wa serikali za nchi kama TZ na DRC ili waweze kuukamilisha Ufalme wao kwa nafasi ya kutosha.

Na sina shaka wakifanikiwa hili watawashawishi watu wao wote duniani wanaotaka, warudi kwenye himaya zao mpya. Kama wanavyofanya Israel.

Tumeona wanachokifanya Uganda, DRC, na sasa TZ. Watutsi ni watu wazuri kama marafiki lakini kila wanapofika wana ambition ya kuwa wao ndio wawe watawala kwa sababu bado wanaamini wana haki ya kudumisha/kurudisha zile falme zao.

Wataanza kuingilia vyombo vya ulinzi na usalama, halafu vyombo vingine nyeti vya serikali na hatimae uongozi wa nchi. Na sababu moja kubwa ni kuwa hawana nafasi tena Rwanda na Burundi.

Hizi nchi mbili (Rwanda na Burundi) ni baruti onayosubiri kulipuka wakati wowote ule. Kwa kweli kuna haja ya kuwatafutia suluhisho la kudumu.

KOSA LA WAKOLONI
Kosa kubwa sana walilofanya wakoloni na League of Nations pale baada ya kwisha vita vya kwanza vya dunia ni kulichukua koloni la Ujerumani (Deutsche Ost-Afrika) na kuligawa sehemu tatu. Tanganyika, Rwanda na Burundi.

Tanganyika walipewa Uingereza kama protectorate na Rwanda, Burundi walipewa mfalme wa Belgium aliekuwa anamiliki Congo (DRC ya leo) kama shamba lake binafsi.

Wakati wa uhuru, badala ya kuziunganisha Rwanda, Burundi na Congo kama nchi moja wakaziacha kama nchi 3 sovereign and independent.

Kama wangeziunganisha hizi nchi 3 (zote zilikuwa zinazungumza kifaransa) huu uhaba wa ardhi waliokuwa nao leo usingekuwepo.

Nafikiri pia kitu kingine kilichozuia Rwanda na Burundi kuwa sehemu ya Congo ni kuwa Watutsi walitaka kudumisha zile falme zao mbili na waliogopa kumezwa na Congo.

HITIMISHO
Kwa kweli tunapaswa kuwaombea hawa majirani zetu wakae kwa amani kwa sababu wakianza tu kuchinjana wote watakuwa wageni wetu.

Kama isingekuwa hii ambition yao ya kuwa kama parasite na hatimae kumuua host nisingeona shida. Lakini hawa hawaji kujitafutia maisha na amani tu, hapana. Wana lengo la kutunyang'anya hii nchi.

Asanteni wakuu kwa kuwa macho nao.
 
Yani upumbavu wenu wa kujifanya system huko mtaani mkidanganya wajinga mnauleta hadi huku!
 
Sio chuki, mipaka mingine yote imekata makabila pande zote hivyo huwezi sikia Mganda akilalamikiwa kujifanya Mhaya, au Mmasai wa Kenya na Tanzania, Mjaluo wa Kenya na Tanzania, Mmakonde wa Msumbiji na Tanzania, Mnyasa wa Malawi na Tanzania, wote hawa hawana matatizo kabisa.

Lakini kwa upande wa Banyamulenge kuna tatizo, wanajipenyeza kwa makusudi kwenye positions of power ili kuitawala kwa kujifanya Watanzania katika juhudi za kuirudisha ila Bahima Kingdom kisiri siri. Kagame, Museveni, Kabila, na...wote ni wale wale!.

Paskali
Wasioelewa watakataa
 
Uzalendo wa kweli wa nchi yako ni pamoja na kututajia huyo Katto aliyekuja unamuona, akitokea wapi?, taarifa zipo Mzee Machalila ni babu mzaa mama, jee baba yake halisi ni nani, ni mtu wa wapi, na Katto mwenyewe alizaliwa wapi?. Huu ndio Uzalendo wenyewe wa kweli.

Paskali
Wakati ukifika tutalidadavua
 
Sio chuki, mipaka mingine yote imekata makabila pande zote hivyo huwezi sikia Mganda akilalamikiwa kujifanya Mhaya, au Mmasai wa Kenya na Tanzania, Mjaluo wa Kenya na Tanzania, Mmakonde wa Msumbiji na Tanzania, Mnyasa wa Malawi na Tanzania, wote hawa hawana matatizo kabisa.

Lakini kwa upande wa Banyamulenge kuna tatizo, wanajipenyeza kwa makusudi kwenye positions of power ili kuitawala kwa kujifanya Watanzania katika juhudi za kuirudisha ila Bahima Kingdom kisiri siri. Kagame, Museveni, Kabila, na...wote ni wale wale!.

Paskali
Hiyo "theory" ya Bahima Kingdom kutaka kutawala sehemu za Africa mashariki na kati bado sijaikubali labda siku za usoni. Huu mtazamo hauwezi kufutika miongoni mwetu kirahisi. Inanipa picha siku Mnyambo akiwa raisi au waziri mkuu atapewa jina la "mkimbizi" au kibaraka wa Hima empire
 
Siku hiyo ni lini?. Hivi haijui kuna makabila hawaruhusiwi kuwa?, mtafute Britanicca, akueleze kwanini jamaa fulani aitwae Katto, amebadili kabila!.

Paskali
 
Siku hiyo ni lini?. Hivi haijui kuna makabila hawaruhusiwi kuwa?, mtafute Britanicca, akueleze kwanini jamaa fulani aitwae Katto, amebadili kabila!.

Paskali
Sawa ndugu ila huyo Kato huyo... ni msaliti kwa kweli [emoji23] [emoji23][emoji23] Hivi unaanzaje kukana kabila lako?
 
Back
Top Bottom