Wanyarwanda wenye influence na siasa za Tanzania hapa panawahusu

Naona kanda ya ziwa imekuwa ikichukiwa bila sababu kwa mda mrefu sasa hasa makabila yake. Hivi kuwa Mhaya, Mzinza au Mnyambo ni kosa?.
Kuna Wayao, wachaga na Wanyakyusa wote wapo mipakani lakini hakuna chuki dhidi yao kama kwa makabila ya Kanda ya ziwa na Kigoma.
Inabidi mbadilike na mitazamo hasi iliyoota mizizi.
Mi ni wa kanda hiyo pia
 
Naona kanda ya ziwa imekuwa ikichukiwa bila sababu kwa mda mrefu sasa hasa makabila yake. Hivi kuwa Mhaya, Mzinza au Mnyambo ni kosa?.
Kuna Wayao, wachaga na Wanyakyusa wote wapo
mipakani lakini hakuna chuki dhidi yao kama kwa makabila ya Kanda ya ziwa na Kigoma.
Inabidi mbadilike na mitazamo hasi iliyoota mizizi.

Hao uliowataja hawadanganyiki kirahisi na wanatoa taarifa mapema kama mgeni ameingia kwao kuliko hao wa kanda ya ziwa
 
Kutokana na mitazamo ya aina hii wapo baadhi ya watu mpaka wanaogopa kutaja makabila yao kuhofia kuzungumziwa vibaya.
Wao watakuwa wanahofu.nini?

Mimi ni muhaya kabila Moja na muzamiri katunzi, rugemalila, anna tibaijuka, delphine rwegasira, Mulokozi , Kagasheki, Mutalemwa, Kamala Wellington wa Texas, Justinian Rweyemamu wa Harvad, Francis Kateka aliyekuwa rais wa wana sheria duniani,fildon Mwombeki Rais wa UEM yaan Lutheran duniani ndo mkuu wao, Cardinal Rigambwa, na Mukandara wa Udsm, kwanini niogope kutaja ?

Wanaoogopa ni wakimbizi,
Kwetu Katoma Kagege, kwa wahyoza alosema mwalimu nyerere kuwakataa nshomile waziba,

Mimi nimekulia ushwahilini Uhuru platform, enzi hizo Magufuli akija kumuona babu yake machalila kato anafikia pale kwa mzee abdulafiew,

Habari ndo hiyo
 
Miaka ya themanini na tisini Wahaya wengi walikuwa wanapenda kujiita Wasukuma na kuogopa kusema ukweli kama ulikuwa hujui.
 
Ukienda rwanda jimbo la Gitarama kuna watanzania wengi ukiangalia kwa kina siyo watanzania, ila ni wale wakimbizi wa zamani waliokimbilia hapa Tanzania mwaka 1970, 1977,1994 na miaka ya karibuni,

Hapa utakutana na mzee mnonezi, mzee micheli, Ndailos, na Mzee Aganyila, hawa ni watu maarufu wanaoratibu shughuli mbali mbali pamoja na

1.Kuhakikisha wanapata uwakilishi katika ngazi mbali mbali katika nchi ya Tanzania, sekta mbali mbali,

2. Uhakika wa kupata pa kuhifadhi wakimbizi wapya wanaokuja kinyemela ndani ya misitu ya kimisi, Runzewe na biharamulo kasindaga,

3. Kuhakikisha wanaratibu wanyarwanda wote wanaoishi Tanzania kunyonya iwezekanavyo na kutuma hela nyumbani,

4.Kuyatatua matatizo yaliyowapata wenzao sehem mbali mbali Tanzania,

Majimbo ambayo wamefanikiwa kuyakamata mpaka sasa hivi
1.Wilaya nzima ya Muleba, lile ni koloni rasmi la wanyarwanda, kuanzia Mubunda, Bihija, Ngote, Kanyeranyere mpaka ziwa Burigi,

2. Wilaya ya karagwe , mabila, nkwenda, kishao na kaisho,

3.Biharamulo yote

4. Geita hapa wapo wengi mpaka wanazungumza kisukuma na wameshakuwa na ngazi serikalini

5.kigoma baadhi ya maeneo

Sekta ambazo mpaka sasa wamekalia
1.askari polisi na magereza wamepata mpaka ukuu wa magereza yaan bwana jera

2. TRA
3.uhamiaji
4. TCRA
5. Bungeni pia

Lakini kaa mkijua mpango wenu wa kuhakikisha jamaa fulani anakuwa rais hatutakubali sisi kama.watanzania wema , hatutakubali kupangiwa rais na Rwanda kisa kulinda maslahi yenu ya ukanda huu hapa tumekataa sana

Wale vijana watatu wanaotaka kusajiliwa sekta nyeti tumeshapata taarifa na kuwanyima.vibali vya kuwa nchini

BIG UP MZEE MAGUFULI

Ila punguza urafiki na Kagame
KaRwanda ni kanchi kadogo sana kusumbua Tanzania mbaya Zaidi kapo juu ya volcano anytime watazichapa ni suala muda tu.
 
Wao watakuwa wanahofu.nini?

Mimi ni muhaya kabila Moja na muzamiri katunzi, rugemalila, anna tibaijuka, delphine rwegasira, Mulokozi , Kagasheki, Mutalemwa, Kamala Wellington wa Texas, Justinian Rweyemamu wa Harvad, Francis Kateka aliyekuwa rais wa wana sheria duniani,fildon Mwombeki Rais wa UEM yaan Lutheran duniani ndo mkuu wao, Cardinal Rigambwa, na Mukandara wa Udsm, kwanini niogope kutaja ?

Wanaoogopa ni wakimbizi,
Kwetu Katoma Kagege, kwa wahyoza alosema mwalimu nyerere kuwakataa nshomile waziba,

Mimi nimekulia ushwahilini Uhuru platform, enzi hizo Magufuli akija kumuona babu yake machalila kato anafikia pale kwa mzee abdulafiew,

Habari ndo hiyo
Haha
 
Naona kanda ya ziwa imekuwa ikichukiwa bila sababu kwa mda mrefu sasa hasa makabila yake. Hivi kuwa Mhaya, Mzinza au Mnyambo ni kosa?.
Kuna Wayao, wachaga na Wanyakyusa wote wapo mipakani lakini hakuna chuki dhidi yao kama kwa makabila ya Kanda ya ziwa na Kigoma.
Inabidi mbadilike na mitazamo hasi iliyoota mizizi.
Sio chuki, mipaka mingine yote imekata makabila pande zote hivyo huwezi sikia Mganda akilalamikiwa kujifanya Mhaya, au Mmasai wa Kenya na Tanzania, Mjaluo wa Kenya na Tanzania, Mmakonde wa Msumbiji na Tanzania, Mnyasa wa Malawi na Tanzania, wote hawa hawana matatizo kabisa.

Lakini kwa upande wa Banyamulenge kuna tatizo, wanajipenyeza kwa makusudi kwenye positions of power ili kuitawala kwa kujifanya Watanzania katika juhudi za kuirudisha ile Bahima Kingdom kisirisiri kupitia mlango wa nyuma. Kagame, Museveni, Kabila, na...wote ni wale wale!.

Paskali
 
Wao watakuwa wanahofu.nini?

Mimi ni muhaya kabila Moja na muzamiri katunzi, rugemalila, anna tibaijuka, delphine rwegasira, Mulokozi , Kagasheki, Mutalemwa, Kamala Wellington wa Texas, Justinian Rweyemamu wa Harvad, Francis Kateka aliyekuwa rais wa wana sheria duniani,fildon Mwombeki Rais wa UEM yaan Lutheran duniani ndo mkuu wao, Cardinal Rigambwa, na Mukandara wa Udsm, kwanini niogope kutaja ?

Wanaoogopa ni wakimbizi,
Kwetu Katoma Kagege, kwa wahyoza alosema mwalimu nyerere kuwakataa nshomile waziba,

Mimi nimekulia ushwahilini Uhuru platform, enzi hizo Magufuli akija kumuona babu yake machalila kato anafikia pale kwa mzee abdulafiew,

Habari ndo hiyo
kiukwel hawa watu hawafai mm kwetu chato kachwamba yaan ukienda eneo moja ichwankima wameshanunua maeneo kibao na wanalima sana asa hv kama wasukuma, pia wengi wao wamekuwa wasukuma kabisa kwa mtu ambae sio msukuma ni raisi kuwaamin kuwa ni wasukuma, mara nyingi ukikutana nao huwa wanataja makabila matatu, yaan " mnyambo, muhangaza au msukuma" yaan ichwankima kwa sasa ndo wao kila kitu nashaangaa serikali ipo inawafaham kabisa na wanawaona kila siku wakishusha mijengo pale na kununua maeneo. hawa niwatu hatari sana kwa miaka ijayo, maana ata Rwanda historia inaonyesha walifika kama kikundi kidogo kikitokea somalia na sudani wakiwa na mifugo, kwa sasa wahutu wote walishatawanywa na kubaki watusi ambao wanazid kujipanua, serikali liangalieni sana hili mbelen ni hatari sana kwa ustawi wa nchi yetu, tusifurahie kuwaoa na kuwawenda ndani tukiamin ni watu wema kwetu
REF; Walaka wa Mchungaji Mtikila@KAGAME APENYEZA WANYARWANDA 5000 WENYE SILAHA' Viongozi wenye mapenzi mema na hii nchi msipuuze hii inshu sisi tunaotoka haya maeneo tunawafaham vizuri sn hawa watu
 
Mimi nimekulia ushwahilini Uhuru platform, enzi hizo Magufuli akija kumuona babu yake machalila kato anafikia pale kwa mzee abdulafiew,
Habari ndo hiyo
Uzalendo wa kweli wa nchi yako ni pamoja na kututajia huyo Katto aliyekuja unamuona, akitokea wapi?, taarifa zipo Mzee Machalila ni babu mzaa mama, jee baba yake halisi ni nani, ni mtu wa wapi, na Katto mwenyewe alizaliwa wapi?. Huu ndio Uzalendo wenyewe wa kweli.

Paskali
 
Mkuu Bratinicca, inaelekea unawajua sana hawa imposters wa banyamulege wanaojifanya Wasukuma!, kiukweli watu hawa ni hatari sana kwa ustawi wa taifa letu, haswa wanavyojua kujipenyeza na kuganda kama luba, vipi kuhusu yule Katto, uliotueleza kwenye uzi ule, alizaliwa wapi, jee wazazi wake halisi ni kina nani na walitokea wapi kabla hawajalowea hapo walipolewea, huyu Katto siku hizi yuko wapi, na kama alibadili jina, kwa nini alibadili jina na sasa anaitwa nani na ana wadhifa gani hapo alipo?.

Paskali
jpm
 
Sio chuki, mipaka mingine yote imekata makabila pande zote hivyo huwezi sikia Mganda akilalamikiwa kujifanya Mhaya, au Mmasai wa Kenya na Tanzania, Mjaluo wa Kenya na Tanzania, Mmakonde wa Msumbiji na Tanzania, Mnyasa wa Malawi na Tanzania, wote hawa hawana matatizo kabisa.

Lakini kwa upande wa Banyamulenge kuna tatizo, wanajipenyeza kwa makusudi kwenye positions of power ili kuitawala kwa kujifanya Watanzania katika juhudi za kuirudisha ila Bahima Kingdom kisiri siri. Kagame, Museveni, Kabila, na...wote ni wale wale!.

Paskali
Does it make them criminals?
 
Back
Top Bottom