Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 53,857
- 121,995
Kuna yoyote anayezungumzia criminals hapa?. Hapa tunazungumzia impostors wa kibanyamulenge, posing as Tanzanians.Does it make them criminals?
P.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna yoyote anayezungumzia criminals hapa?. Hapa tunazungumzia impostors wa kibanyamulenge, posing as Tanzanians.Does it make them criminals?
Ukisema wanajipenyeza kupata power kama watu wengine wanazuiwa haileti maana. Wote tuna nafasi sawa. Mtu akilala usimuamshe...ila haya maandishi ya namna hii yanaleta chuki na kuwaga watu. Kama hakuna ukweli anayeyasambaza anastahili kuwajibikaKuna yoyote anayezungumzia criminals hapa?. Hapa tunazungumzia impostors wa kibanyamulenge, posing as Tanzanians.
P.
sio mimi ninayesema wanajipenyeza to the positions of power, bali walikuwepo, hadi jeshini, walipobainika wamejulikana, walikimbia wenyewe na wengine walifukuzwa, tatizo sasa ni wale waliolowea, kuzaliwa, kusomea na kuzungumza lugha za wenyeji ambao ni very hard to detect.Ukisema wanajipenyeza kupata power kama watu wengine wanazuiwa haileti maana. Wote tuna nafasi sawa. Mtu akilala usimuamshe...ila haya maandishi ya namna hii yanaleta chuki na kuwaga watu. Kama hakuna ukweli anayeyasambaza anastahili kuwajibika
Sent from my SM-J700F using JamiiForums mobile app
Mhh,,,,,,,,,,,,,,,,,,sawaUkienda rwanda jimbo la Gitarama kuna watanzania wengi ukiangalia kwa kina siyo watanzania, ila ni wale wakimbizi wa zamani waliokimbilia hapa Tanzania mwaka 1970, 1977,1994 na miaka ya karibuni,
Hapa utakutana na mzee mnonezi, mzee micheli, Ndailos, na Mzee Aganyila, hawa ni watu maarufu wanaoratibu shughuli mbali mbali pamoja na
1.Kuhakikisha wanapata uwakilishi katika ngazi mbali mbali katika nchi ya Tanzania, sekta mbali mbali,
2. Uhakika wa kupata pa kuhifadhi wakimbizi wapya wanaokuja kinyemela ndani ya misitu ya kimisi, Runzewe na biharamulo kasindaga,
3. Kuhakikisha wanaratibu wanyarwanda wote wanaoishi Tanzania kunyonya iwezekanavyo na kutuma hela nyumbani,
4.Kuyatatua matatizo yaliyowapata wenzao sehem mbali mbali Tanzania,
Majimbo ambayo wamefanikiwa kuyakamata mpaka sasa hivi
1.Wilaya nzima ya Muleba, lile ni koloni rasmi la wanyarwanda, kuanzia Mubunda, Bihija, Ngote, Kanyeranyere mpaka ziwa Burigi,
2. Wilaya ya karagwe , mabila, nkwenda, kishao na kaisho,
3.Biharamulo yote
4. Geita hapa wapo wengi mpaka wanazungumza kisukuma na wameshakuwa na ngazi serikalini
5.kigoma baadhi ya maeneo
Sekta ambazo mpaka sasa wamekalia
1.askari polisi na magereza wamepata mpaka ukuu wa magereza yaan bwana jera
2. TRA
3.uhamiaji
4. TCRA
5. Bungeni pia
Lakini kaa mkijua mpango wenu wa kuhakikisha jamaa fulani anakuwa rais hatutakubali sisi kama.watanzania wema , hatutakubali kupangiwa rais na Rwanda kisa kulinda maslahi yenu ya ukanda huu hapa tumekataa sana
Wale vijana watatu wanaotaka kusajiliwa sekta nyeti tumeshapata taarifa na kuwanyima.vibali vya kuwa nchini
BIG UP MZEE MAGUFULI
Ila punguza urafiki na Kagame
Namba 4 nimeiekewa sana, pengine kuzidi hata aluvyoelewa mtoa mada
Too late makapi kuyachujaKudadadeki wallahi, Mmaaaa!!!!!!!
Is Rwanda peaceful country???????... You know the truth but you don't like to say......as the system they can do you,as the did to Patrick karegeya.You mean no any Tanzanian in Rwanda system?
We gonna chase them all and leave our peaceful and clean Rwanda lol!!
Miaka ya themanini na tisini Wahaya wengi walikuwa wanapenda kujiita Wasukuma na kuogopa kusema ukweli kama ulikuwa hujui.
Does it change the fact that those are Tanzanians?
ongea kiswahili,mada yote ipo kiswahili na wa tanzania wanachangia kwa kiswahili fasaha acha ulimbukeni wa kinyarwanda hapaDoes it make them criminals?
We do not have an immune from the world of espionage. Kuna taarifa zinaibwa na wageni, wazawa walionunuliwa na hata wengine kwa sababu ya itikadi zao au imani za kisiasa. Inatokea hivyo Marekani, Israel, Russia na kwingineko.sio mimi ninayesema wanajipenyeza to the positions of power, bali walikuwepo, hadi jeshini, walipobainika wamejulikana, walikimbia wenyewe na wengine walifukuzwa, tatizo sasa ni wale waliolowea, kuzaliwa, kusomea na kuzungumza lugha za wenyeji ambao ni very hard to detect.
Paskali
Unachekesha sana. Kila asiyekubaliana na hoja hii dhaifu unamuita mnyarwanda. Siasa zenu za majungu na fitna hazitawapeleka mnakotaka kufika.ongea kiswahili,mada yote ipo kiswahili na wa tanzania wanachangia kwa kiswahili fasaha acha ulimbukeni wa kinyarwanda hapa
Nawashauri waanze na wewe maana sio mtanzania na umefika hapo ulipo just kiddingToo late makapi kuyachuja
Busara ikuongoze, tumia akili ya ziada, utaelewa tuu....Umefumba.mnoo fumbua fumbo ili
kiukwel hawa watu hawafai mm kwetu chato kachwamba yaan ukienda eneo moja ichwankima wameshanunua maeneo kibao na wanalima sana asa hv kama wasukuma, pia wengi wao wamekuwa wasukuma kabisa kwa mtu ambae sio msukuma ni raisi kuwaamin kuwa ni wasukuma, mara nyingi ukikutana nao huwa wanataja makabila matatu, yaan " mnyambo, muhangaza au msukuma" yaan ichwankima kwa sasa ndo wao kila kitu nashaangaa serikali ipo inawafaham kabisa na wanawaona kila siku wakishusha mijengo pale na kununua maeneo. hawa niwatu hatari sana kwa miaka ijayo, maana ata Rwanda historia inaonyesha walifika kama kikundi kidogo kikitokea somalia na sudani wakiwa na mifugo, kwa sasa wahutu wote walishatawanywa na kubaki watusi ambao wanazid kujipanua, serikali liangalieni sana hili mbelen ni hatari sana kwa ustawi wa nchi yetu, tusifurahie kuwaoa na kuwawenda ndani tukiamin ni watu wema kwetu
REF; Walaka wa Mchungaji Mtikila@KAGAME APENYEZA WANYARWANDA 5000 WENYE SILAHA' Viongozi wenye mapenzi mema na hii nchi msipuuze hii inshu sisi tunaotoka haya maeneo tunawafaham vizuri sn hawa watu