Wanyarwanda wenye influence na siasa za Tanzania hapa panawahusu

Mie nahitaji nikatalii huko kwao ili niwale kidogo. Milioni si itatosha kutalii Rwanda jamani ama ni ndogo. Wazoefu wa Rwanda nipeni pa kuanzia. Kupita mpakani wanatoa kibali Cha siku ngapi
 
 
Tutengeneze katiba imara ambayo hasta mzungu akishika Dola hawezi haribu!akizingua TU snipers wanafanya kazi iliyotukuka!!

Lakini Kwa Katiba iliyopo akishika mgeni anaweza badili hats jina la nchi na kuwa jamhuri.ya sokomoni!!

Katiba katiba katiba!

Tunapoelekea nchi inahitaji watu smart sio makabila na uzawa na ugeni mnaouzungumza humu jamvini!!

Kama babu alizaliwa huko Uganda,Burundi,Rwanda n.k akaja kuchunga mang'ombe Tz akazaaa na mjita,mrangi,msukuma,mchaga na watoto wakawa smart shuleni na akili za kimaendeleo utawanyimaje uongozi!!?kisa asili Yao sio wazawa!!?

Tuwe kama america hata niingie mimi sibadili malengo take na maono.yake Bali nafanyia kazi maandiko ya nchi!!

KATIBA IMARA YENYE UWEZO WA KUMFUNGA SPEED GAVANA RAIS ITASAIDIA SANA ASIHARIBU!TUACHE HII KITU YA ASILI YA MTU ,JAPO MIMI NI MTANZANIA PURE FROM PATRILINEAL POINT OF VIEW!!
 
Binafsi sipingi mabadiliko ya katiba kwenda huko ambako baadhi ya wengi wanapasema, shida yangu ni moja tu. Je, hata tukipata katiba mpya tunao watu wa kuisimamia? Tunao watu wa kuhoji watakao ivunja?

Hapo huwa navurugwa kati ya nini muhimu kuanza kati ya kutengeneza watu au kutengeneza katiba?

Binafsi naamini tukitengeneza watu jasiri, wenye nguvu ya kudai haki wanapoonewa, wenye ujasiri wa kuhoji viongozi wao ndio mwanzo wa kuandaa katiba mpya

Siamini kama tusipowapata hao watu kwanza tutakuwa katika nafasi nzuri ya kutengeneza katiba nzuri.

Maandishi ya katiba pekee hayatabadili chochote kama hatutakuwa na watu jasiri kwanza
 
Sana
 
Nimeukumbuka msitu wa Lunzewe.
Nyakanazi kwenye mbao
 
Xenophobia huko marekani kuna wenyeji luluki kwenye vyombo vyao vya usalama.

Na kati yao kuna watu washauza sensitive info nje ya nje; aina maana hakuna wenyeji ambao hawajafanya zambi hizo hizo.

Usalama wa taifa jinsi unavyofanya kazi ni kwa mechanics za kufundishwa namna ya kuendesha idara.

Lakini uhalisia wa mchezo wa usalama ni intelligence (intelligence maana yake inataka watu wenye akili kuwa maafisa usalama) na msingi wake ni kuelewa Plato ship allegory.

Shida yetu ni ujinga na kutokuwa makini na kuanza kushuku jamii za watu, hadi kumuajiri raia wa nchi ya kigeni na kushindwa kumfanya kuwa loyal kwako. Shida sio huyo mtu alipotoka; shida ni HR programme zako.

Vinginevyo nchi zilizoendelea zina maafisa usalama raia wa kutoka nchi zote duniani.

Usalama wa taifa ni mchezo wa watu wenye akili, Hakuna usalama wa taifa Tanzania kuna sungu-sungu tu wa kuleta umbea. Hawa watu hawawezi hata kupata intelligence ya watekajj au watu waliokuwa wakitupa mahiti baharini enzi za Magufuli; kuna usalama wa taifa hapo au watu wapuuzi tu.

Tupambane na ujinga wetu kuliko kusambaza Xenophobic nchini, wanyarandwa sio shida yetu au watu wenye asili hiyo kama wapo serikalini.

If anything malalamiko hayo ni uelelezo wa ushahidi kuhusu uwezo wetu mdogo.

Usalama wa taifa ni mchezo wa watu wenye akili (hakunaga, namna nyingine), usijiongopee.

Usijiongopee usalama wa taifa ni mchezo wa watu wenye akili, yaani usijiongopee.
 
Waulize wacongo waliwakaribisha leo hii wanataka kuwatawala
 
Waulize wacongo waliwakaribisha leo hii wanataka kuwatawala
Kazi ya kuendesha nchi sio rahisi, kueneza xenophobia hiyo ni ishara ya kukosa maarifa.

Wanyarwanda ni ndugu zetu na kuna maeneo ndani ya Tanzania kilugha chao ni kinyarwanda na hawa wana haki na Tanzania kama walivyo wazaramo wa pwani.

Ulinzi wa nchi ni mikakati.
 
Just because ni majirani haimaanishi tufungue geti wamiminike weee bila brake. Unlike tanzania , rwanda ni ndogo na haina too much resources, so moja ya malengo ya kiongoz wao ni kutafuta resources karibu kuijenga nchi yao, jibu Congo . Next TZ.. hawa watu wamejipenyeza sana wakiwa na lengo moja tu.
Sisemi wote ni wabaya but hatuwez waruhu kufanya wanqchokitaka over watanzania halisi walio wakuta.

Usalama wa nchi ni kipoambele cha kwanza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…