Wanyarwanda wenye influence na siasa za Tanzania hapa panawahusu


Kudadadeki wallahi, Mmaaaa!!!!!!!
 
4. Geita hapa wapo wengi mpaka wanazungumza kisukuma na wameshakuwa na ngazi serikalini
BIG UP MZEE MAGUFULI
Ila punguza urafiki na Kagame
Mkuu Bratinicca, inaelekea unawajua sana hawa imposters wa banyamulege wanaojifanya Wasukuma!, kiukweli watu hawa ni hatari sana kwa ustawi wa taifa letu, haswa wanavyojua kujipenyeza na kuganda kama luba, vipi kuhusu yule Katto, uliotueleza kwenye uzi ule, alizaliwa wapi, jee wazazi wake halisi ni kina nani na walitokea wapi kabla hawajalowea hapo walipolewea, huyu Katto siku hizi yuko wapi, na kama alibadili jina, kwa nini alibadili jina na sasa anaitwa nani na ana wadhifa gani hapo alipo?.

Paskali
 
Mkuu Pascal Mayalla Ni vigumu sana kuizungumzia historia ya Kato ukiwa huru, ilibidi isemwe mapema kabla Kato hajawa mkubwa, maana karagwe kakaa kidogo babu yake kabla hawajaamia maeneo uhakika,

Hawa banyamulenge ni watu hatari kwa ustawi wa amani ya Taifa letu,

Watu wakifika wanabadiri majina kwa usiri mkubwa,

Kuna mmoja alikuja wakati wa wakimbizi mwaka 1994, nimesoma naye shule Moja sasa hivi ni bwana jela na serikali imempeleka ivory coast kusoma zaid
 
Naona kanda ya ziwa imekuwa ikichukiwa bila sababu kwa mda mrefu sasa hasa makabila yake. Hivi kuwa Mhaya, Mzinza au Mnyambo ni kosa?.
Kuna Wayao, wachaga na Wanyakyusa wote wapo mipakani lakini hakuna chuki dhidi yao kama kwa makabila ya Kanda ya ziwa na Kigoma.
Inabidi mbadilike na mitazamo hasi iliyoota mizizi.
 
Jela gani Mkuu
Jela gani kaka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…