BICHWA KOMWE -
JF-Expert Member
- Jul 21, 2022
- 6,373
- 16,073
Hakuna kitu inakera unalikuta lidada linachanganya "R" na "L" kwenye matamshi.
Unakuta ni msomi au mzuri tu lakini unamsikia anatamka "chakuRa" au "ajaRi". "UsijaRi baby" !!
Nikikutana na lidada linaongea Kiswahili cha "R" "R" kama mgambo wa Congo huwa naghairi kumzagamua kabisa. Namnasa makofi na kumtimua.
Ukikutana na Wanyaturu hadi raha. wale watu wanaongea Kiswahili fasaha bwana hata kama lafudhi yao sio tamu sana lakini Kiswahili chao ni mwaaaahhh!!
Unakuta lidada linavuruga tu Chakura, usijaRiiiiii, SijaRaaa, kwa kwelii lazima nikubamize makofi.
Wanyaturu hongereni kwa Kiswahili Kizuri. Ni kati ya lugha pekee nchini ambayo haijaathiri matamshi ya Kiswahili.
Makabila yote mengine lazima ukute wana shida za "R" na "L". Wanachefua mno.
Raha ya mpenzi ajue Kiswahili bwana! mambo ya kufokeana kama wakurya hapana!
SijaRAA! Ebo!