BICHWA KOMWE -
JF-Expert Member
- Jul 21, 2022
- 6,373
- 16,073
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata dudu halisimami 😓Iringa ni waathirika wakubwa wa lugha ya kiswahili...inatia kinyaa kutumia R kwenye L na L kwenye R
Inakata mzuka hatari
Ngombe 😁😁😁Ila S na Z hawawezi tofautisha.
Masiwa=Masiwa.
Kuna wale wa Kaishozi hawawezi tofautisha ng'ombe na ngo.
Ng'ombe=Ngombe
Yeah na hao angalau 🥰🥰Kuna warangi na wasandawe pia, sema warangi R yao inakazwa mara dufu.
wairaq sijawajua sana.Wanaoweza kutofautisha maneno kiboko Yao wairaq, ila ni wabaguzi sana Hawa viumbe usiombe kabsa.
Mtamba chuo 😁😁Hii ni kwa wazee ambao hawana meno sio kwa vijana.
😁😁😁😁Write your reply...Z NA S MANYARA KLM NA ARUSHA.NSURI MSEE WANGU
Angalau Waarusha.Moshi na Arusha wana uwezo wa kutofautisha L na R usijumuishe makabila yote.
😅😅😅😅mkuu hii mada ulikusudia kutusema sisi wa kanda maalum, nikuambie kitu hizi lugha ni tamu sana, lafdhi tofauti tofauti zinafurahisha hapa kimasai, hapa kijaluo, hapa kichaga ni burudani
Wana vishundu 😁😁Sijawahi kuona mnyakyusa mrembo!
😁😁😁😁😁HUJAKUTANA NA MABINTI WA KINYAKYUSA WATULIVU SANA NA WANAMCHA YESU KRISTO MDA WOTE
Mwambie aje aone. Huku hamnaga ushamba kama huo.Moshi na Arusha wana uwezo wa kutofautisha L na R usijumuishe makabila yote.
Hainogi bana mnakuwa kama MIGAMBO 😁😁Unasusia kipochi manyoya kisa mdada kasema ChakuRa badala ya Chakula?! 😂😂😂😂😂 We kweli bwege
We sometimes unakuwa jike vipi?? Apo naona umekuwa dume.Hakuna kitu inakera unalikuta lidada linachanganya "R" na "L" kwenye matamshi.
Unakuta ni msomi au mzuri tu lakini unamsikia anatamka "chakuRa" au "ajaRi". "UsijaRi baby" !!
Nikikutana na lidada linaongea Kiswahili cha "R" "R" kama mgambo wa Congo huwa naghairi kumzagamua kabisa. Namnasa makofi na kumtimua.
Ukikutana na Wanyaturu hadi raha. wale watu wanaongea Kiswahili fasaha bwana hata kama lafudhi yao sio tamu sana lakini Kiswahili chao ni mwaaaahhh!!
Unakuta lidada linavuruga tu Chakura, usijaRiiiiii, SijaRaaa, kwa kwelii lazima nikubamize makofi.
Wanyaturu hongereni kwa Kiswahili Kizuri. Ni kati ya lugha pekee nchini ambayo haijaathiri matamshi ya Kiswahili.
Makabila yote mengine lazima ukute wana shida za "R" na "L". Wanachefua mno.
Raha ya mpenzi ajue Kiswahili bwana! mambo ya kufokeana kama wakurya hapana!
SijaRAA! Ebo!
Nakumbuka kuna Baba Mkwe wetu alitoka Manyara alikuja kujitambulisha "home",sasa shilingi alikuwa silingi,ilibidi ntoke nje nichekeWrite your reply...Z NA S MANYARA KLM NA ARUSHA.NSURI MSEE WANGU
Sema tu umempenda mnyaturu haya mengine ni blaa blaaa 🤣🤣🤣Hakuna kitu inakera unalikuta lidada linachanganya "R" na "L" kwenye matamshi.
Unakuta ni msomi au mzuri tu lakini unamsikia anatamka "chakuRa" au "ajaRi". "UsijaRi baby" !!
Nikikutana na lidada linaongea Kiswahili cha "R" "R" kama mgambo wa Congo huwa naghairi kumzagamua kabisa. Namnasa makofi na kumtimua.
Ukikutana na Wanyaturu hadi raha. wale watu wanaongea Kiswahili fasaha bwana hata kama lafudhi yao sio tamu sana lakini Kiswahili chao ni mwaaaahhh!!
Unakuta lidada linavuruga tu Chakura, usijaRiiiiii, SijaRaaa, kwa kwelii lazima nikubamize makofi.
Wanyaturu hongereni kwa Kiswahili Kizuri. Ni kati ya lugha pekee nchini ambayo haijaathiri matamshi ya Kiswahili.
Makabila yote mengine lazima ukute wana shida za "R" na "L". Wanachefua mno.
Raha ya mpenzi ajue Kiswahili bwana! mambo ya kufokeana kama wakurya hapana!
SijaRAA! Ebo!
Kwa wazee sawa ila sio vijana.Ila S na Z hawawezi tofautisha.
Masiwa=Masiwa.
Kuna wale wa Kaishozi hawawezi tofautisha ng'ombe na ngo.
Ng'ombe=Ngombe
Ina turn off kabisa.Mwambie aje aone. Huku hamnaga ushamba kama huo.
Kuna kipindi nilikuwaga na manzi mmoja wa daslam asee anakuambia "nipo mologolo". Ilibidi nimteme tu.
unajua maana ya nsuri? msee wangu inatumika kama utani tu, ila huo uduanzi wa kuchanganya r na l hatunaga sisi.Write your reply...Z NA S MANYARA KLM NA ARUSHA.NSURI MSEE WANGU