Wanyaturu ni kabila pekee lisilo na athari ya lugha kimatamshi; Wanawake wapo pia ni wakali sana

Unasusia kipochi manyoya kisa mdada kasema ChakuRa badala ya Chakula?! πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ We kweli bwege
 
We sometimes unakuwa jike vipi?? Apo naona umekuwa dume.
 
Write your reply...Z NA S MANYARA KLM NA ARUSHA.NSURI MSEE WANGU
Nakumbuka kuna Baba Mkwe wetu alitoka Manyara alikuja kujitambulisha "home",sasa shilingi alikuwa silingi,ilibidi ntoke nje nicheke
 
Sema tu umempenda mnyaturu haya mengine ni blaa blaaa 🀣🀣🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…