Wanyaturu ni kabila pekee lisilo na athari ya lugha kimatamshi; Wanawake wapo pia ni wakali sana

Ndio wameshazoea na hawafanyi mipango ya kujitoa huko.
kuna demu nilimpataga mkali balaa kishundu si kishundu halafu sio mchoyo kila nitakachamuomba jbu lake huwa.....ni wewe tu, ila sasa hajui kutamka jina lake, anaitwa Flora ila yeye huwa anatamka Flola, nilishamsahihisha mpaka mwishowe nikaamua kumuacha alivo.
 
Upande wa Mashariki
Upande wa Magharibi

Wanyaturu wanajua Lugha bwana hizo ni direction wanazotoa wanyaturu wakikuelekeza kwenda mahali huwezi potea.

Sio tu wanaijua lugha ya kiswahili vizuri ila hata ushamba hawana mnyaturu ukimleta mjini ni tofaut na muha,msukuma,mchaga na wengineo.

Japo hawana utajiri/matajiri ule mkoa ila n moja ya mikoa yenye watu smart lafudhi mpaka kichwani
 
Nikweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…