Wanyiha, ni watu wagumu sana mapenzini. Acha waoane wao kwa wao

Wanyiha, ni watu wagumu sana mapenzini. Acha waoane wao kwa wao

Kule Chunya kulikuwa sehemu salama kabisa ila tangu washkaji watie kambi ndio ikawa mara yangu ya kwanza kuweka historia kuwa miongoni mwa watu walioshuhudia vipaji vya kipekee katika swala zima la wizi.

Majamaa walikuwa wanaiba sana na kupora vipimo na sometimes walikuwa hadi wana wadhuru watu.

Ila moja ya tukio ambalo sikuwahi kufikiria kuwa inawezekana ni kitendo cha mtu kuiba nguruwe bila nguruwe kupiga kelele.
Nguruwe ni warafi!! Ukichukua mkate ukaunyunyizia Konyagi kubwa ukampa akala, dakika kumi nyingi, unabeba kama gogo
 
Nadhani walishughulikuwa kikamilifu.
Mbozi na Songwe pako shwari sikuhizi , miaka ile ya nyuma ndio kulikuwa ni mji wenye uhalifu kuliko yote Tanzania hapa ,kuanzia ujambazi , uchunaji ngozi , mauaji ya kishirikina kama kupiga watu NONDO nk
 
Mkuu huku kwetu umalila msangule ni mtu aliyefariki afu baadae anaonekana anaishi sehemu nyingine tena japo kwa miaka hii sisikii sana.
Ila for sure issue ya wala nyama za watu ni complex sababu nazijua baadhi ya koo za kimalila zinasemekana ni masalia ya wanyamanyafu.
Huko umalila ni wapi? kabila gani linaishi uko? je nao ni wanga?

kuna yule mtangazaji wa azam hua anajitaja ni wa huko umalila
 
kipindi nipo advance shule moja mbeya mjini 88, kuna jamaa nilikutana nae tulikua class 1 sasa akawa ananishawishi sana tuende Mbozi kutalii kuangalia Kimondo ila nilishindwa kumbe ndo kuna watu makatili kiasi ichi

Ila kati ya mikoa niliyoishi naona mbeya ni mkoa HATARI Sana for mine experience b'se kipindi tupo shule ilikua haipiti week lazima mtu auwae kwa mtaa wa mazingira ya shule pale b'se tulikua na teacher wetu wa phy alikua anakuja kutufundisha saa 11 alfajiri Kwaiyo akawa anatusimulia hayo matukio ili kutujaza upepo tupige kitabu b'se yeye amenajitoa muhanga kutoka kwake hadi shule wakati ambao ni HATARI kwake lakini anafanya hivyo kwaajili yetu
Hata ule mto unaoita jirani na Meta Sec pale haipiti wiki maiti lazima maiti ziokotwe mle.
 
Aliyekuwa anakaba na kushusha mizigo kwenye maroli kuanzia mlima wa Tazama Pipeline,Mlima nyoka,Uyole,Njia ya Tukuyu anaitwa Tenende saizi kachoka umri umemtupa anafanya kilimo cha ndizi, huwa anaonekana Inyala
 
Mna roho mbayaaa nimesoma nao mbozi mission secondary school kote mlowo, vwawa, idiwili, itaka , igamba, mahenge, isansa mmejaa nyie tu mnaroho mbayaaa ya maviii hamfaiii na ndiyo maana mnajitenga mnaishi wenyewe Kwa wenyewe hata mbeya mjini hampo mmejificha maporini yaani nyie hamna tofauti na wasafwa wa uyole sijuii mliumbwa Kwa lengo gani hapa duniani? hamtaki kuchangamana na watu ni wabinafsi hampendi mtu asiye wa kabila lenu afanikiwe kazi tu kusema shonii, mwakata.... Mwakata uli .. haansiii wapuuzi wakubwa mlimteka kaka yangu mkamkata miguu Kisa alikatisha kwenye shamba la alizeti kule matula nawalaani miaka ALFU LELA ULELA.

Ndomana nilifirahi sana mkoa wa mbeya ulivyotenganishwa na liwilaya la mbozi lililojaa mahayawani watupu wasiojielewa.

Hebu nitajie ni myiha gani kashawahi kushika ngazi za juu za uongozi katika nchi hii!!!?? Mnaishia kuwa mamonita tu kwenye madarasa mliyojaa nyie watu wa hovyo miso na mfano..

Kwa kifupi nyie ni wapumbavu tu.
Mkuu umewachana sana,inawezekana kweli walifanya hivyo ila sio wote walitenda hilo,usihukumu kabila zima kwa kosa la watu hata 20 tu...

Wasamehe,usiwalaani.
 
Tumugoje tumuleshe?

Huo ndio msimbo wao, au password yao, ikiwa na maana "Tumuuwe au tumuache?"

Hawa watu ni wagumu sana kwenye mahusiano, ni makatili sana na Wana roho ya ajabu kabisa. Mwanamke anaweza kukuacha ndani u taabani, kwa kuumwa, akaenda kanisani akarudi usiku kisha akapitilizia kulala
Nimecheka sana paragraph ya mwisho mkuu. Nacheka tu peke yangu. Dah!

Ova
 
wanadamu wote ni wabaya kama hawajaokoka. ila kiukweli ukiwachukua wale wasiomjua Mungu, weka hapa makabila mawili tu, kabila la wanyiha na warangi, ndugu yangu kimbia kwa nguvu zako zote ulizojaliwa. utanishukuru. ila wakimjua Mungu labda, la sivyo, nimeishi maisha mengi na maeneo mengi, sijawahi kuona watu kama hawa wawili.
Unawajua wagogo vizuri
 
Wanyamanyafu asili yao ni sumbawanga huko ila waliingia Mbeya miaka ya zamani sana baada ya kufukuzwa huko ndo wakajichimbia Ikuti huko ndo maana utaona kwa makabila mengi ya Mbeya kuanzia Wanyiha,wandali, wanyaki, wamalila kuna masalia ya hao jamaa.
Nyamanyafu ni ukoo ndugu na wandali na wanyakyusa wote ni wanyakyusa yaani ni sawa na mkagulu akisema Mimi sio mgogo ni mkagulu Mimi binafsi natokea koo ya nyamanyafu
 
Back
Top Bottom