nerilan
JF-Expert Member
- Dec 11, 2013
- 454
- 691
Hivi ndo hao walianzisha matukio ya uchunaji ngozi kwa kumchuna kijana wa kule Ileje?.Sio Wagumu tu ni kabila lenye watu wenye roho ya kikatili nadhani kuliko makabila mengi Tanzania wao kuua ni kitu cha kawaida tu.
Wakikaba kwenye Mlima Senjele walikua wanatumia huo msemo wao wa Tumghoghe au Tumleshe wakimaanisha tumuue au tumuache mmoja kati yao akiongea uuawe au uachwe utaachwa kweli au kuuawa sio watu kabisa hao ndio hao hao walipelekewa deal na Waganga kuhusu ngozi ya binadamu mpaka wakaanza kuchuna ngozi watu na pia huko Mbozi palikua na Mzee alikua anakodisha Bunduki na kutengeneza siraha ambazo Majambazi wengi wamezitumia kwenye utekaji Mkoa wa Mbeya...
Senjele na lile eneo zima pale lianaogopeka. Kuna kipindi miaka ya nyuma nilipita nikakuta container imeanguka pale ila inalindwa na askari wenye SMG