Wanyiha, ni watu wagumu sana mapenzini. Acha waoane wao kwa wao

Nguruwe ni warafi!! Ukichukua mkate ukaunyunyizia Konyagi kubwa ukampa akala, dakika kumi nyingi, unabeba kama gogo
 
Nadhani walishughulikuwa kikamilifu.
Mbozi na Songwe pako shwari sikuhizi , miaka ile ya nyuma ndio kulikuwa ni mji wenye uhalifu kuliko yote Tanzania hapa ,kuanzia ujambazi , uchunaji ngozi , mauaji ya kishirikina kama kupiga watu NONDO nk
 
Huko umalila ni wapi? kabila gani linaishi uko? je nao ni wanga?

kuna yule mtangazaji wa azam hua anajitaja ni wa huko umalila
 
Hata ule mto unaoita jirani na Meta Sec pale haipiti wiki maiti lazima maiti ziokotwe mle.
 
Aliyekuwa anakaba na kushusha mizigo kwenye maroli kuanzia mlima wa Tazama Pipeline,Mlima nyoka,Uyole,Njia ya Tukuyu anaitwa Tenende saizi kachoka umri umemtupa anafanya kilimo cha ndizi, huwa anaonekana Inyala
 
Mkuu umewachana sana,inawezekana kweli walifanya hivyo ila sio wote walitenda hilo,usihukumu kabila zima kwa kosa la watu hata 20 tu...

Wasamehe,usiwalaani.
 
Nimecheka sana paragraph ya mwisho mkuu. Nacheka tu peke yangu. Dah!

Ova
 
Unawajua wagogo vizuri
 
Wanyamanyafu asili yao ni sumbawanga huko ila waliingia Mbeya miaka ya zamani sana baada ya kufukuzwa huko ndo wakajichimbia Ikuti huko ndo maana utaona kwa makabila mengi ya Mbeya kuanzia Wanyiha,wandali, wanyaki, wamalila kuna masalia ya hao jamaa.
Nyamanyafu ni ukoo ndugu na wandali na wanyakyusa wote ni wanyakyusa yaani ni sawa na mkagulu akisema Mimi sio mgogo ni mkagulu Mimi binafsi natokea koo ya nyamanyafu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…