Tetesi: wanyoa viduku,wavaa jeans wala vichapo

Wale wabunifu wa vazi la taifa hawajamaliza kutushonea!
 
Tuambieni vazi la taifa ni lipi?
2. Upi ni utamaduni wa mtanzani?
3. Kufanya mapenzi siyo utamaduni wetu?
 
Two adults having sex in a guest house kwa hiari Huwezi kuingilia maamuzi yao, na sio kila anayefanya ngono lazima awe na ndoa. Watu wenye mawazo kama yako ndio mnatakiwa mkamatwe.
 
Hawana kazi za kufanya Elimu haijawasaidia wapo busy na vitu vya kijinga jinga tuu...
 
Baba yangu alipokuwa ananikataza kujiunga na jeshi la polisi kipindi kileeee nilikuwa naumia sana, lakini sasa nishaanza kuelewa
 
Uko safi dada, hawa wahuni walitaka kuwaaribia mishe mjini eti wanaonesha makalio
Wewe lazima utakuwa shoga tu, maana kila sentensi yako haikosi kutaja "makalio".
 
Nashangaa watu wanasapoti huu ujinga ................sisi watu weusi tunamatatizo sana hapo tunaona ni sawa kabisa wala hatupimani akili.....ivi unadhan sahv marekani au ulaya wanaweza wakamuwajibisha raia wao kisa mavazi .....kweli sisi tunastahili kutukanwa.....na bado tutatukanwa sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…