Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 154,929
- 459,607
He he hivi kumbe alinifukuza nilijua katuambia tunaongea mambo ya chumbani ila atuache tuNitacheka
Si ushatimuliwa wewe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
He he hivi kumbe alinifukuza nilijua katuambia tunaongea mambo ya chumbani ila atuache tuNitacheka
Si ushatimuliwa wewe
MmmhHe he hivi kumbe alinifukuza nilijua katuambia tunaongea mambo ya chumbani ila atuache tu
Baba yangu alipokuwa ananikataza kujiunga na jeshi la polisi kipindi kileeee nilikuwa naumia sana, lakini sasa nishaanza kuelewaKwamba maeneo ya chango'mbe dar es salaam wale wanaume wa dar wnaoendana na fashooon za kina lil uzi,21 savage,wiz khalifa za kuvaa visurual vya kubana yaani vimodo na kunyoa viduku wamepokea vichapo kutoka kwa walinzi wa amani na kunyolewa viduku hivyo
Pia inasemekana huko Arusha hata wadada waliovaa jeans wanakamatwa
Okie dokie,naliomba jeshimahiri kabisa la polisi Afrika nzima yaani Police tanzania waanze msako wa guest houses wakikuta watu wanafanya ule mchezo wa kimama na baba wawaambie waonyeshe vyeti vya ndoa hii itasaidia sana kulinda maadili mema ya jamaii tya Mtanzania,jamii yenye upendo ,amani,inayoishi vizuri bila kubaguana chini ya Rais mpendwa mwenye moyo wa upendo kwa wananchi wake bila kujali itikadi za vyama vyao
Anataka kufungua kesiMANGE KASEMAJE?
Sawa CHOKO SODIUM CYANIDE.Nilikuwa sijafahamu kama nahangaika na aunt zilla. Sorry mkuu zozana na machoko wenzio
Uko safi dada, hawa wahuni walitaka kuwaaribia mishe mjini eti wanaonesha makalioWapigwe tu hamna namna...nidhani irudi itapunguza wanaume wenye tabia za kimama na ushoga.
Wewe lazima utakuwa shoga tu, maana kila sentensi yako haikosi kutaja "makalio".Uko safi dada, hawa wahuni walitaka kuwaaribia mishe mjini eti wanaonesha makalio
Sorry nilikoseaaa...Duh!!!washakuwa mwenzangu tena!!kwahiyo na mimi mwanaume??
hao acha tu wachapwe. Wananikera wanavaa nguo chupi zao zote nje,chafuuuuuuu. Wanaboa sanaSorry nilikoseaaa...
Nilimanishaa wapendwa wakooo